Ipo Historia Kubwa ya Mwalimu Nyerere Ndani ya Soko la Kariakoo 1950s

Ipo Historia Kubwa ya Mwalimu Nyerere Ndani ya Soko la Kariakoo 1950s

Hao vijana ni mwelekeo wako! Na wewe bila kutaja Sykes hujapata raha! Badilika wataje hata Wakristo ili tukuamini. Kumbuka mimi ni mwislam sheikh
Mzee anakera sana huyu. Ingekuwa amri yake angetaka Tanzania waishi Waislamu tu
 
Mimi nimezungumzia ya October 29 juzi tu hapo ambapo mambo yaliyotekea umejionea kwa macho yako na usishangae ulijificha hiyo siku na sio mambo yakusimuliwa kama hayo ya 1958 ambapo wewe ulikuwa mdogo sana
Mna...
Tafadhali nifahamishe unachotaka kutoka kwangu.
Umeniuliza kuhusu mauaji na nimekujibu kuwa yanasikitisha.

Mauaji yalipotokea mimi nilikuwa nje ya nchi na sikuyaona kwa macho yangu.
 
Mzee anakera sana huyu. Ingekuwa amri yake angetaka Tanzania waishi Waislamu tu
Stuxnet,
Unakereka kusoma historia ya uhuru wa Tanganyika ambayo hakuna aliyepata kuiandika?
Kitu gani hukipendi?
 
Kila kitu lazima uhusishe na Uislamu na wazee wako akina Sykes. Hivi huna namna nyingine ya kuandika kuhusu soko mpaka uwapaishe hao wazee wako??

Huu udini ulionao ni mbaya kuliko wa Afghanistan, sema huna mabomu tu, ungetumaliza wakristu
Stuxnet,
Huwezi kuacha kuhusisha harakati za uhuru na Waislamu.
Angalia picha hizi za mwanzo wakati harakati za TANU zinaanza:
1770783162247.png

Kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa (Mke wa Shariff Abdallah Omar Attas), Bibi Titi Mohamed, Bi. Mwamvita bint Mnyamani, Julius Nyerere, Lucy lameck na Bi. Tatu bint Mzee wanamsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955
1770783354917.png

Kulia kwa Mwalimu Nyerere ni Iddi Faiz Mafungo Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) na Mweka Hazina wa TANU na ndiye alikuwa mkusanyaji wa fedha za safari ya UNO.

1770783522449.png

Kulia Iddi Faiz Mafungo, Sheikh Mohamed Ramia, Julius Nyerere, Saadan Abdu Kandoro na Haruna Iddi Taratibu Dodoma 1955/56

Ndugu yangu,

Hii ni historia ya Mwalimu Nyerere.
Hupendi ielezwe kwa kuwa tu ina Waislamu?

Kueleza historia hii kwako ni udini?
Je kuifuta historia hii tukuitaje?
 
Mna...
Tafadhali nifahamishe unachotaka kutoka kwangu.
Umeniuliza kuhusu mauaji na nimekujibu kuwa yanasikitisha.

Mauaji yalipotokea mimi nilikuwa nje ya nchi na sikuyaona kwa macho yangu.
Mimi ninachotaka kutoka kwako uelezee
 
Stuxnet,
Huwezi kuacha kuhusisha harakati za uhuru na Waislamu.
Angalia picha hizi za mwanzo wakati harakati za TANU zinaanza:
View attachment 3542336
Kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa (Mke wa Shariff Abdallah Omar Attas), Bibi Titi Mohamed, Bi. Mwamvita bint Mnyamani, Julius Nyerere, Lucy lameck na Bi. Tatu bint Mzee wanamsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955
View attachment 3542337
Kulia kwa Mwalimu Nyerere ni Iddi Faiz Mafungo Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) na Mweka Hazina wa TANU na ndiye alikuwa mkusanyaji wa fedha za safari ya UNO.

View attachment 3542338
Kulia Iddi Faiz Mafungo, Sheikh Mohamed Ramia, Julius Nyerere, Saadan Abdu Kandoro na Haruna Iddi Taratibu Dodoma 1955/56

Ndugu yangu,

Hii ni historia ya Mwalimu Nyerere.
Hupendi ielezwe kwa kuwa tu ina Waislamu?

Kueleza historia hii kwako ni udini?
Je kuifuta historia hii tukuitaje?
Tumechoka bana na haya maandishi ya ki-fanatic. Yaani unahusisha vipi soko lililojengwa baada ya kuunguzwa 3 years ago?? Huna kingine cha kuandika?? Lol
 
Tumechoka bana na haya maandishi ya ki-fanatic. Yaani unahusisha vipi soko lililojengwa baada ya kuunguzwa 3 years ago?? Huna kingine cha kuandika?? Lol
Student,
Usiwajumuishe wengine katika kuchoka kwako.

Ikiwa wewe umechoka kusoma historia hii basi kaka pembeni hujalazimishwa.

Soko la Kariakoo lina historia kubwa na ndiyo hiyo nimeeleza.

Leo asubuhi nilikuwa hapo Soko la Kariakoo na nimefanya kipindi na Azam TV.

Kitarushwa katika Zumari kipindi cha Jaafar Mponda.

View: https://youtu.be/mDEZOK2SBBM?si=kz22KGZEXmjY9vMg
 
Hewaa! Na angemfufua Sykes wake
Gwapole,
Haya yote yanakutoka kwa mimi kueleza historia ya Mwalimu Nyerere, Abdul Sykes, Shariff Abdallah Attas na Mshume Kiyate sokoni Kariakoo wakati wa kupigania uhuru?

Kuna ubaya gani?

Au ni hasad imekutawala unatamani haya yangefanywa na wengine lakini si wazee wetu sisi.
 
Mzee Mudy hii nchi ni yetu sote Wagalatia, Kobaz, Wahindu, Wabudha, wapagani na hata wasio na dini. Tujitahidi wote kuishi kwa umoja na maelewano tu bila kutaka kundi mmojawapo lipewe umuhimu mkubwa zaidi kuliko kundi lingine.
 
Huyu bila kuandika Sykes roho ya haijatulia
Sasa kwavipi unaweza kuandika historia ya nyerere bila kutaja hao watu au nikwavip utaandika kuhusu TANU bila kutaja hao watu? Au kwavipi utazungumzia mambo ya uhuru wa Tanganyika bila kutaja hao watu? Utawakwepaje? Othewise kama unataka kuficha au kupotosha mambo
 
Acha utoto basi!
 
Back
Top Bottom