Mzee anakera sana huyu. Ingekuwa amri yake angetaka Tanzania waishi Waislamu tuHao vijana ni mwelekeo wako! Na wewe bila kutaja Sykes hujapata raha! Badilika wataje hata Wakristo ili tukuamini. Kumbuka mimi ni mwislam sheikh
Mna...Mimi nimezungumzia ya October 29 juzi tu hapo ambapo mambo yaliyotekea umejionea kwa macho yako na usishangae ulijificha hiyo siku na sio mambo yakusimuliwa kama hayo ya 1958 ambapo wewe ulikuwa mdogo sana
Stuxnet,Mzee anakera sana huyu. Ingekuwa amri yake angetaka Tanzania waishi Waislamu tu
Stuxnet,Kila kitu lazima uhusishe na Uislamu na wazee wako akina Sykes. Hivi huna namna nyingine ya kuandika kuhusu soko mpaka uwapaishe hao wazee wako??
Huu udini ulionao ni mbaya kuliko wa Afghanistan, sema huna mabomu tu, ungetumaliza wakristu
Mimi ninachotaka kutoka kwako uelezeeMna...
Tafadhali nifahamishe unachotaka kutoka kwangu.
Umeniuliza kuhusu mauaji na nimekujibu kuwa yanasikitisha.
Mauaji yalipotokea mimi nilikuwa nje ya nchi na sikuyaona kwa macho yangu.
Yangekuwa maajabu.Kichwa cha habari na yanaongelewa humo ni tofauti, ningeshangaa ni lini umeanza kumpenda Nyerere!
Hewaa! Na angemfufua Sykes wakeMzee anakera sana huyu. Ingekuwa amri yake angetaka Tanzania waishi Waislamu tu
Tumechoka bana na haya maandishi ya ki-fanatic. Yaani unahusisha vipi soko lililojengwa baada ya kuunguzwa 3 years ago?? Huna kingine cha kuandika?? LolStuxnet,
Huwezi kuacha kuhusisha harakati za uhuru na Waislamu.
Angalia picha hizi za mwanzo wakati harakati za TANU zinaanza:
View attachment 3542336
Kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa (Mke wa Shariff Abdallah Omar Attas), Bibi Titi Mohamed, Bi. Mwamvita bint Mnyamani, Julius Nyerere, Lucy lameck na Bi. Tatu bint Mzee wanamsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955
View attachment 3542337
Kulia kwa Mwalimu Nyerere ni Iddi Faiz Mafungo Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) na Mweka Hazina wa TANU na ndiye alikuwa mkusanyaji wa fedha za safari ya UNO.
View attachment 3542338
Kulia Iddi Faiz Mafungo, Sheikh Mohamed Ramia, Julius Nyerere, Saadan Abdu Kandoro na Haruna Iddi Taratibu Dodoma 1955/56
Ndugu yangu,
Hii ni historia ya Mwalimu Nyerere.
Hupendi ielezwe kwa kuwa tu ina Waislamu?
Kueleza historia hii kwako ni udini?
Je kuifuta historia hii tukuitaje?
Mna...Mimi ninachotaka kutoka kwako uelezee
Student,Tumechoka bana na haya maandishi ya ki-fanatic. Yaani unahusisha vipi soko lililojengwa baada ya kuunguzwa 3 years ago?? Huna kingine cha kuandika?? Lol
Gwapole,Hewaa! Na angemfufua Sykes wake
View attachment 3541612
Soko la Kariakoo kama lilivyokuwa miaka ya nyuma kulia hilo jengo dogo ndiyo ilikuwa ofisi ya Market Master.
View: https://youtu.be/5g_DMWsh_uE
Sina bando la kufungulia hiyo videoMna...
Unataka nieleze mauaji kwa vipi?
Mauaji yameelezwa na yanafahamika.
View: https://youtu.be/B68BFgj9rXI?si=ni6TuKZXd2hwSNzy
Sasa kwavipi unaweza kuandika historia ya nyerere bila kutaja hao watu au nikwavip utaandika kuhusu TANU bila kutaja hao watu? Au kwavipi utazungumzia mambo ya uhuru wa Tanganyika bila kutaja hao watu? Utawakwepaje? Othewise kama unataka kuficha au kupotosha mamboHuyu bila kuandika Sykes roho ya haijatulia
Acha utoto basi!Sasa kwavipi unaweza kuandika historia ya nyerere bila kutaja hao watu au nikwavip utaandika kuhusu TANU bila kutaja hao watu? Au kwavipi utazungumzia mambo ya uhuru wa Tanganyika bila kutaja hao watu? Utawakwepaje? Othewise kama unataka kuficha au kupotosha mambo
Utoto unao wewe,, nonsense mind!Acha utoto basi!