Ipo Jamii ya rika fulani ambayo huwa ni kikwazo kweli kwa maendeleo ya generation ya nyakati hizi

Ipo Jamii ya rika fulani ambayo huwa ni kikwazo kweli kwa maendeleo ya generation ya nyakati hizi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
YANGA YAMUANGUKIA MZEE MAGOMA

Kufuatia matokeo mabovu inayoyapata kwa siku za hivi karibuni Klabu ya Yanga kupitia kwa rais wake Eng:Hersi imeamua kumpigia goti mzee Magoma ili kumaliza tofauti zao

Ikumbukwe mara kadhaa mzee Magoma amekuwa akiuita uongozi wa Yanga kukaa nae chini lakini uongozi huo umekuwa ukimpuuza
FB_IMG_17329515691557190.jpg
 
YANGA YAMUANGUKIA MZEE MAGOMA

Kufuatia matokeo mabovu inayoyapata kwa siku za hivi karibuni Klabu ya Yanga kupitia kwa rais wake Eng:Hersi imeamua kumpigia goti mzee Magoma ili kumaliza tofauti zao

Ikumbukwe mara kadhaa mzee Magoma amekuwa akiuita uongozi wa Yanga kukaa nae chini lakini uongozi huo umekuwa ukimpuuzaView attachment 3165568
Kwamba magoma ndo sababu ya yanga kufungwa?
 
Back
Top Bottom