Ipo siku atakufa mwanasiasa mkubwa wa CCM na Watanzania watachinja ng'ombe na kusherehekea.

Ipo siku atakufa mwanasiasa mkubwa wa CCM na Watanzania watachinja ng'ombe na kusherehekea.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Napata picha mbaya sana ya hii chuki.

Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru.

Leo hii askari polisi au MwanaCCM akipata ajali watu wanafurahia afe.

Akifariki mwanaCCM au chawa wa CCM watu wanashangilia kifo ni kifo tu.
 
Kwamba kutasababisha uhaba wa Mifugo na vilevi nchini (Mifugo mingi sana itachinjwa)
 
Akifa Samia nitafurahi sana. Tena akifa kifo chenye maumivu makali ndo itakuwa vizuri zaidi.
Sory mkuu nyani ngabu w X na wewe niwatu 2 tofauti?.
Maana huko X post zake na huku sijakuelwa kabisa
 
Hili ni jambo ambalo liko wazi kabisa. Kwenye hii nchi yetu kuna wanasiasa na polisi wakifa, wananchi wanasherehekea vizuri tu.
 
Back
Top Bottom