Ipo siku Clouds FM itawapigia magoti WCB kukubali yaishe

Ipo siku Clouds FM itawapigia magoti WCB kukubali yaishe

Usiifananishe efm na Wasafi,Wasafi wameingia kwenye media industry hawana hata mwaka lakin wanaenda kuipoteza efm,sasa hivi ni Wasafi vs Clouds...believe me clouds wanaenda kupotea ndani ya mwaka mmoja,na sasa hivi tegemeo lao lipo kwa Soudy tu katika kupambana na WCB wengine kama wameanza kunyoosha mikono juu

Sasa tv zote za mtu mmoja moja ya familia ambayo ni clouds nyingine ya kwake ambayo ni wasafi jina lisikustue bwana wacha mtu amtengeenezee mwenzie biashara mwisho wa siku Kusaga anafanya yake
 
Radio mbili katika biashara ya ushindani. Kila moja ina soko lake, ubunifu na sio uigizaji wa alichobuni mwingine, ndio mafanikio ya kila moja. Pia siasa ziwekwe kando, ndio sumu katika kila kitu.
 
Sasa tv zote za mtu mmoja moja ya familia ambayo ni clouds nyingine ya kwake ambayo ni wasafi jina lisikustue bwana wacha mtu amtengeenezee mwenzie biashara mwisho wa siku Kusaga anafanya yake
huo mjadala wa Kusaga ulishaisha na vishtobe wenzako walishanyoosha mikono juu,umiliki wa hisa 53 kwa 45 huwez kusema media ni ya Jose kirahisi rahisi,njoo na hoja nyingine bwana andunje
 
huo mjadala wa Kusaga ulishaisha na vishtobe wenzako walishanyoosha mikono juu,umiliki wa hisa 53 kwa 45 huwez kusema media ni ya Jose kirahisi rahisi,njoo na hoja nyingine bwana andunje
Huwa nasoma baadhi ya thread zako critical! Ila hapa naona umebugi bigtimr
 
hivi mnajua mwenye share nyingi wcb mumewe anamiliki clouds kwa share nyngi pia?jaribu kugoogle wamiliki wa wasafi medie utamkuta Zuhyna Sheghululu huyu ni mke halali wa J Kusaga
 
Radio one walichukua frequency za rock fm Mbeya 93.2 so rock fm Mbeya ni ya mengi?hujui kuwa hujui.
Bosi, kuna vitu sio lazima kubishana, frequency zinaenda na zone, Dar es salaam, pwani na zanzibar zinashare masafa, Mifano yako iko irrelevant, Hawawezi kuwa na frequency moja kwenye same zone. Inaweza kuwa 88.5 mbeya na 88.5 dar na radio tofauti. But not 88.5 dar na 88.5 zanzibar then zikawa radio tofauti.
 
Ninavyojua hata EFM walipokuja hali ilikuwa hivi hivi baada ya muda mambo yakarudi kwenye equilibrium, Wasafi pia italeta changamoto hapa mwanzoni baadae itarudi kwenye position yake kama tu media yao haitakuwa na contents za kuvutia zaidi.

Clouds ina mizizi mikubwa.Wasafi media inabebwa kwasababu ya jina na umaarufu wa Diamond lakini hatijajua contents na consistency yao hapo baadae.
Mfano tu mitandaoni mtakapopost RIP SIMBA, RIP CHIBU.

BASI ITAKUWA MWISHO WA CLOUDS.
 
Ukiskiliza wasafi fm vionjo vyao vyote wanaiga clouds...unajiuliza ubunifu upo wap? Sion kinachomkimbiza msikilizaji clouds kuja wasaf. Labda ongelea suala la music ila sio media.
 
Kwanza wasafi wanaikopi clouds Kwa baadhi ya mambo.wasafi FM haijatoka hata nje ya dar
 
Binafsi sijaona hapo hoja yako ni ipi, wasafi angalie nyie vijana wa kileo ila sisi bado cloud's inatushika na vipindi vyake moto moto. Huwezi kuwa na akili zako timamu ukawasha wasafi kutazama kwa lipi jipya pale na lenye maana.
 
Siku bashite skianguka na WCB keisha kazi yao usilingsnishe Clauds na ao mashoga wanaotegmea mbeleko.
 
Ninavyojua hata EFM walipokuja hali ilikuwa hivi hivi baada ya muda mambo yakarudi kwenye equilibrium, Wasafi pia italeta changamoto hapa mwanzoni baadae itarudi kwenye position yake kama tu media yao haitakuwa na contents za kuvutia zaidi.

Clouds ina mizizi mikubwa.Wasafi media inabebwa kwasababu ya jina na umaarufu wa Diamond lakini hatijajua contents na consistency yao hapo baadae.
Statistics ya wiki iliyopita kwa siku zote E FM ndo inashika chart za juu so nadhan clouds media washachokwa istoshe wanavijembe saana siku hizi ,,Amplifaya tu ndo kipindi chao bora
 
WCB kwa sasa ni kama maji utake usitake utayanywa tu hata ukiwachukia utawaangalia kimya kimya tu. Ukweli ni kwamba Diamond platnumz na WCB nzima wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuiteka kona ya Mitandao ya kijamii kutokana na brand yao kuwa na Fan base kubwa na inaongoza kufwatiliwa na watu wengi.

Baada ya Diamond kuanzisha Wasafi festival imekuwa ni pigo kubwa kwa clouds, huku wakijikuta wanaanzisha vijembe kuwa wasafi wanateseka wakati wao wenyewe ndio wanateseka

Clouds kwasasa imekosa mvuto, ubuyu wote ulikuwa wcb sasa wamebaki wanatapatapa, ipo siku boss ruge atakapopata nafuu atakuja kumlilia Diamond warudi kama zamani, ni swala la muda tu

how?

mmiliki mbona mmoja?
 
Unailinganisha clouds na wasafi kwa kutumia vigezo gani sasa??

Na watapotezwa kwenye lipi??

Do you think watakuwa na show ya asubuhi kuishinda PB??,,Njia panda,Jahazi,Sport Extra??

ana mahaba na wcb huyo
 
Back
Top Bottom