Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
Jackie (sijui inaandikwa hivyo) yupo jela huko China kwa kesi ya kukamatwa na dawa za kulevya. Miaka kadhaa sasa.
Ni video vixen. Fashion Model. Slay queen. Paper chaser na hardcore japo mrembo mno.
Alikuwa yupo na Jux kimapenzi kabla ya majanga. Jux alihamia kwa Vee baada ya Jackie kupata majanga.
Vee mcharuko. Jux mtulivu. Vee ana skendo ya kuliwa na Mbunge muhuni muhuni. Jina lake nalifupisha, EB.
Jux hana skendo ya kuchapa nje ya mahusiano yake na Vee.
Jackie na Jux (JJ) walipendana. Walipendana kweli kweli. Kesi ya Jackie ilikaa vibaya. Jux akaplay safe ili afanye mipango ya kumnusuru lakini ikashindikana.
Jux atamuacha Vee. Atarudi kwa Jackie.
Sent using Jamii Forums mobile app