Ipo siku Jux atamuacha Vee, atarudi kwa Jackie

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
Jackie (sijui inaandikwa hivyo) yupo jela huko China kwa kesi ya kukamatwa na dawa za kulevya. Miaka kadhaa sasa.

Ni video vixen. Fashion Model. Slay queen. Paper chaser na hardcore japo mrembo mno.

Alikuwa yupo na Jux kimapenzi kabla ya majanga. Jux alihamia kwa Vee baada ya Jackie kupata majanga.

Vee mcharuko. Jux mtulivu. Vee ana skendo ya kuliwa na Mbunge muhuni muhuni. Jina lake nalifupisha, EB.
Jux hana skendo ya kuchapa nje ya mahusiano yake na Vee.

Jackie na Jux (JJ) walipendana. Walipendana kweli kweli. Kesi ya Jackie ilikaa vibaya. Jux akaplay safe ili afanye mipango ya kumnusuru lakini ikashindikana.

Jux atamuacha Vee. Atarudi kwa Jackie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Miaka mi5 bado haijaisha tu? Jux Lazima Arudi kwa Jack She got Gwan.
 
Kwa nini mnapenda kuwachulia watu wanaopendana?
Jackie na Jux wanapendana. Vee yupo part time na jamaa wa mtu ndio maana hakuna progress yoyote katika mahusiano yao zaidi imekuwa couple ya kibiashara tu.

Huu sio uchuro. Ni mtazamo tu. Jifunze kupokea mambo kwa kichwa, siyo moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom