Ishu ipo kwa TZ ambako Zabzibar ina nguvu sana, Zanzibar ni nchi ndogo sana lakini naweza kusema inapewa priority kubwa sana.
Rsis akiwa wa Tanganyika basi mahakamu aakuwa wa kenya aama vice versa kama saizi.
Zanzibar tayari wana rais , mahakamu wa rais wao, bunge lao, etc kwajili ya zanzibar lakini Tanganyika hakuna hii, Raisi wa Tanzania anakuwa wa Tanganyika + Zanzibar, mfano kwa saizi raisi wa Tanzania katokea Zanzibar na rais wa zanzibar ni mzanzibar, yani kwa saizi wazanzibari ndo wapo top,
Juzi raisi kaagiza zinunuliwe meli 8 zinabaki 4 Tanganyika 4 zanzibar, Pesa za Sherehe za muungano hapo wiki iliyopita zimegawanywa equally kati ya bara kubwa na kiaiwa kidogo cha zanzibar
Wazanzibari hupewa kipaumbele kikubwa wakija Tanganyika hasa kwenye ajira, na vitengo vya juu, mfano jeshini na taasisi kubwa wazanzibari wanapewa upendeleo na ni haki yao.
Kiufupi Tanzania inaenda kuwa ya wazanzibari, kisiwa kidogo ambacho kinapeqa prioritu kubwa sana.