Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
ile ni kazi maalum ya Bashite,DC mstaafu pamoja na hiyi kesi inayomkabili aelezee kidogo sakata la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ooh kumbe!Kuna mission unatumwa kufanya lakini ukikamatwa waliokutuma hawausiki, na kuwataja ni kosa. Unachotakiwa kufanya ni kujitetea na wao watakuwa kwa nyuma, hata jele unaweza kwenda baada ya miaka 2 au 3 kesi inafufuliwa upya na unashinda, unapumzika kidogo then unarudi kwenye V8 kama kawa. Kama VP alikutuma, inamaana alikuamini unakomaa kiume hawezi kukusahau.
Watamfix mazima hata ile huruma waliyotaka kumpa awatompa kaiumbua taasisi ya uraisi.Hana Siri hana kifua asau mazima teuzi hata akija toka jela.sabaya amejitetea kipumbavu sana na ataozea jela kwa ujinga wake
Wamepata walichokuwa wanatafuta.... Kuwapa madaraka makubwa watu wasio na maadili ndii matokeo yake haya.Jana ofisi ya Rais imepakwa kinyesi na Sabaya Mahakamani.
Sabaya amefanya kazi aliyotumwa, ila waliomtuma hawana mawasiliano sawa sawa.Mkuu wa Wilaya Ni mwenyekiti wa ulinzi na Usalama, unapokuwa na DC anayeweza kumchafua au kutoa Siri za Rais na viongozi wa juu kwa public kisa tu amebanwa kwa makosa aliyoyatenda ipo siku au yawezekana hata Sasa baadhi ya Taarifa za nchi hazipo salama.
Most of DC na RC wamepewa hiyo kazi kwa sababu ya uanachama wa chama flani siyo kwa kuangalia qualties. Tuliaminishwa kwamba wanatunza Siri ila naamini tumeona kwa sabaya kwamba tuna umuhimu wakurudisha adhi ya DC na RC kwa watu wenye vifua vya kuhifadhi mambo. Na hii lazima TISS waweze kumshauri Rais na walipaswa kuona hii weakness toka zamani. Tusipokubali kufanya kazi za Utumishi wa Umma tofauti na siasa tutauza nchi. Assume Sabaya alivyokuwa anatoa amri kwa polisi nao wanatekeleza, anabeba silaha hakuna Intel anayeingilia wote wamekaa kimya Leo hii kabanwa na kikesi kidogo tu kaanza kuwataja waliokuwa wamemfadhili. Tusipojirekebisha wakina Siro wakaendelea kuwa controlled na wanasiasa tutapoteana.
Mbona watu walitekwa, waliteswa, waliumizwa na wengine kupotea/kupotezwa wakati rais huyo akiwa madarakani?Mimi siamini kama JPM alimtuma huyu dogo kwenda kufanya jinai,huyu anampakazia Magu kwa vile hayupo duniani kumjibu huu upumbavu wake. Na tukumbuke kuwa Sabaya alianza uhalifu siku nyingi hadi kufoji kitambulisho cha TISS ili kujipatia hela kwa njia za kitapeli.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata mi nimeshangaa, maana alianzisha uzi humu ambao wengi wetu ulitutoa machozi.We Beatrice si niliona Tangazo humu kwamba umekufa?Umefufuka?
Ukute Gwajima kamfufua dadekii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu alishasemaga ATAWATAJA WOOOTE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmasai wa kwanza kuwa MPUUZI