Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Kenya ni majirani zetu wa karibu sana lakini yanayoendelea Kenya sio demokrasia kama ambavyo wengi wanadhani lakini hiyo ni politics accident !
Kuna watu wapo nyuma ya mpango wa kuvuruga utulivu na kuondoa kabisa utulivu wa kimamlaka ili kwamba rais ashindwe kutimiza wajibu wake !
Moto huu hautokomea hapa. Sasa mnatengeneza kizazi Cha vichaa kisichotii Sheria wala mamlaka! Kwa Hali ilivyo Kenya ipo karibu kabisa kutawaliwa na jeshi
Ipo siku jeshi litachukua nchi na hivyo matarajio yote wanayodhani watayapata endapo wataikwamisha serikali ya Ruto hawatayapata
Hakuna mwanasiasa anayefanya siasa ili kusaidia watu. Wengi wapo kwa ajili ya maslahi tu. Hata hao wanaojitokeza kukosoa Kila kitu hawana jipya watakalofanya zaidi ni uchu tu wa madaraka !! Note