Ipo siku na ipo karibu sana Kenya itatawaliwa kijeshi. Hata hao wapinzani wa Ruto wanaojaribu kuchochea moto hawataambulia kile wanachotaka

Hata somalia kabla ya kuingia kwenye mtafuruku walijitokeza wenye akili za kijinga kama za kwako ! Wakashawishi watu na kuwapandikiza chuki kwa serikali yao ! Matokeo yake mpaka Leo wanajutia maamuzi yao
AKILI ZA KIJANGA NI WEWE .SIKU UKIFANYIWA USIJE KULETA KILIO SEHEMU YOYOTE KUHUSU UMEFANYIWA NA SERIKALI.SUBIRI WAKUKAMUE VIZURI
 
Kenya ni majirani zetu wa karibu sana lakini yanayoendelea Kenya sio demokrasia kama ambavyo wengi wanadhani lakini hiyo ni politics accident !

Kuna watu wapo nyuma ya mpango wa kuvuruga utulivu na kuondoa kabisa utulivu wa kimamlaka ili kwamba rais ashindwe kutimiza wajibu wake !

Moto huu hautokomea hapa. Sasa mnatengeneza kizazi Cha vichaa kisichotii Sheria wala mamlaka! Kwa Hali ilivyo Kenya ipo karibu kabisa kutawaliwa na jeshi

Ipo siku jeshi litachukua nchi na hivyo matarajio yote wanayodhani watayapata endapo wataikwamisha serikali ya Ruto hawatayapata

Hakuna mwanasiasa anayefanya siasa ili kusaidia watu. Wengi wapo kwa ajili ya maslahi tu. Hata hao wanaojitokeza kukosoa Kila kitu hawana jipya watakalofanya zaidi ni uchu tu wa madaraka !! Note
Waponzani wa Ruto anafikiria wanachofanya wanakomoa Ruto kumbe wanaharibu nchi
 
Kenya ni majirani zetu wa karibu sana lakini yanayoendelea Kenya sio demokrasia kama ambavyo wengi wanadhani lakini hiyo ni politics accident !

Kuna watu wapo nyuma ya mpango wa kuvuruga utulivu na kuondoa kabisa utulivu wa kimamlaka ili kwamba rais ashindwe kutimiza wajibu wake !

Moto huu hautokomea hapa. Sasa mnatengeneza kizazi Cha vichaa kisichotii Sheria wala mamlaka! Kwa Hali ilivyo Kenya ipo karibu kabisa kutawaliwa na jeshi

Ipo siku jeshi litachukua nchi na hivyo matarajio yote wanayodhani watayapata endapo wataikwamisha serikali ya Ruto hawatayapata

Hakuna mwanasiasa anayefanya siasa ili kusaidia watu. Wengi wapo kwa ajili ya maslahi tu. Hata hao wanaojitokeza kukosoa Kila kitu hawana jipya watakalofanya zaidi ni uchu tu wa madaraka !! Note
Kabla hujaandika hii post, kwanza kwenye politics hakuna accident, kuna planned activities, it either zifanikiwe au zianguke. Pili kenya wana historia na haya mambo, si mara ya kwanza kwenye history ya taifa lao, siwageni
 
Kenya ni majirani zetu wa karibu sana lakini yanayoendelea Kenya sio demokrasia kama ambavyo wengi wanadhani lakini hiyo ni politics accident !

Kuna watu wapo nyuma ya mpango wa kuvuruga utulivu na kuondoa kabisa utulivu wa kimamlaka ili kwamba rais ashindwe kutimiza wajibu wake !

Moto huu hautokomea hapa. Sasa mnatengeneza kizazi Cha vichaa kisichotii Sheria wala mamlaka! Kwa Hali ilivyo Kenya ipo karibu kabisa kutawaliwa na jeshi

Ipo siku jeshi litachukua nchi na hivyo matarajio yote wanayodhani watayapata endapo wataikwamisha serikali ya Ruto hawatayapata

Hakuna mwanasiasa anayefanya siasa ili kusaidia watu. Wengi wapo kwa ajili ya maslahi tu. Hata hao wanaojitokeza kukosoa Kila kitu hawana jipya watakalofanya zaidi ni uchu tu wa madaraka !! Note
Wananchi wameamka na kufunguka akili, hawataki tena ujinga. Lolote liwalo lakini rais afwataye baada ya Ruto hatawai tubuthu kucheza na mali ya umma. Kutoka hapa ndo mwanzo wa uongozi bora Kenya manake tumeshaweka mazoea Sasa hata vizazi vijavyo sasa vitatumia historia hii kama mfano, hata pia hao hawatakubali matumizi mabaya na Kodi yao.
 
Hakuna mwanasiasa anayefanya siasa ili kusaidia watu. Wengi wapo kwa ajili ya maslahi tu.
Kwa hiyo wewe chawa una maoni gani juu ya wanasiasa wa sisiemu, mbona kwa utawala wao wa miaka zaidi ya 60 hawajafanya chochote kusaidia wananchi kama hawa hapa?
👇
 
Kuna watu wapo nyuma ya mpango wa kuvuruga utulivu na kuondoa kabisa utulivu wa kimamlaka ili kwamba rais ashindwe kutimiza wajibu wake !
Nani yupo nyuma? Mbona Odinga kamuunga mkono Ruto ila bado Gen Z wamewaka?? Sio kila kitu kutafuta lawama, ni kweli maisha ni magumu Kenya no ajira huku ufisadi umekithiri.
 
Wananchi wameamka na kufunguka akili, hawataki tena ujinga. Lolote liwalo lakini rais afwataye baada ya Ruto hatawai tubuthu kucheza na mali ya umma. Kutoka hapa ndo mwanzo wa uongozi bora Kenya manake tumeshaweka mazoea Sasa hata vizazi vijavyo sasa vitatumia historia hii kama mfano, hata pia hao hawatakubali matumizi mabaya na Kodi yao.
Nitajie mali za umma alizoiba mpaka sasa au ni ushabiki tu
 
Kwa hiyo wewe chawa una maoni gani juu ya wanasiasa wa sisiemu, mbona kwa utawala wao wa miaka zaidi ya 60 hawajafanya chochote kusaidia wananchi kama hawa hapa?
👇
Unataka ccm ifanye miujiza gani ,unataka maendeleo unayoyawaza kichwani yatokee kama umeme ?
 
Kenya wanastahili kuendelea kuishi kwenye machafuko bila amani kama congo maana wana roho mbaya na ujinga wa ukabila
 
Mapinduzi ya kijeshi ni mwanzo mzuri, hata Ghana na Nigeria walianzia huko. Ufisadi na mfumo wa chama kimoja huwezi kuundoa kwa tick kwenye karatasi, labda watake wenyewe mfano Zambia ya Kaunda.
 
Kwa kweli kwa hatua hizo ambazo Ruto amezichukua lakini bado watu wanaandamana aamuru Jeshi liingie kazini kutuliza ghasia!
Kenya inaweza kuharibika kama Sudani.
 
We bongolala unadhani kila kitu ni siasa? Serikali na Upinzani wameungana lakini bado hatukomi hadi tupate haki yetu, ambayo ni uwajibikaji.
We are partyless, tribeless and leaderless.
Unajua madhara yake likifumuka? Pitia Libya!
 
Back
Top Bottom