Ipo siku na ipo karibu sana Kenya itatawaliwa kijeshi. Hata hao wapinzani wa Ruto wanaojaribu kuchochea moto hawataambulia kile wanachotaka

Ipo siku na ipo karibu sana Kenya itatawaliwa kijeshi. Hata hao wapinzani wa Ruto wanaojaribu kuchochea moto hawataambulia kile wanachotaka

Nitajie mali za umma alizoiba mpaka sasa au ni ushabiki tu
🤣🤣🤣🤣🤣 Yani upo serious 🤣🤣🤣

Naeza kutajia hata kumi....

Tuanzie hapa, alinyakua uwanja wa shule aongeze jengo la hoteli yake ya Weston, akajenga ukuta na kueka gate, wanafunzi walivyo andamana kulalamika kuibiwa kiwanja wakarushwa teargas na polisi, mahakama ikasema kiwanja kiregeshewe shule.


View: https://youtu.be/9tzxox4lmgI?feature=shared
24D7C15F00000578-2916433-image-a-50_1421686392732.jpg
24D7A36D00000578-2916433-image-a-49_1421686390038.jpg
24D63EE200000578-2916433-Uses_vivid_language_when_writing_Schoolboys_face_off_against_a_d-a-5_...jpg
24D63D2900000578-2916433-Hmm_surely_not_called_for_A_police_officer_fires_tear_gas_toward-a-8_...jpg
24D6448900000578-2916433-image-a-40_1421673968573.jpg
24D66C5000000578-2916433-image-a-24_1421684683192.jpg
FB_IMG_1721330818849.jpg
images (6).jpeg
24D63CCB00000578-2916433-Expresses_ideas_clearly_Boys_and_girls_shout_and_wave_placards_a-a-4_...jpg
 

Attachments

  • 24D63C3D00000578-2916433-image-a-37_1421673798431.jpg
    24D63C3D00000578-2916433-image-a-37_1421673798431.jpg
    206.6 KB · Views: 3
Kenya ni majirani zetu wa karibu sana lakini yanayoendelea Kenya sio demokrasia kama ambavyo wengi wanadhani lakini hiyo ni politics accident !

Kuna watu wapo nyuma ya mpango wa kuvuruga utulivu na kuondoa kabisa utulivu wa kimamlaka ili kwamba rais ashindwe kutimiza wajibu wake !

Moto huu hautokomea hapa. Sasa mnatengeneza kizazi Cha vichaa kisichotii Sheria wala mamlaka! Kwa Hali ilivyo Kenya ipo karibu kabisa kutawaliwa na jeshi

Ipo siku jeshi litachukua nchi na hivyo matarajio yote wanayodhani watayapata endapo wataikwamisha serikali ya Ruto hawatayapata

Hakuna mwanasiasa anayefanya siasa ili kusaidia watu. Wengi wapo kwa ajili ya maslahi tu. Hata hao wanaojitokeza kukosoa Kila kitu hawana jipya watakalofanya zaidi ni uchu tu wa madaraka !! Note
Raila Said it all about this and saw this coming this i why i have respect to elders!

If so calle Genz(looter) don want dialogue what else they want than death and left we nothing? Ruto has given almost everything and its seems they have hiden agenda if they have problem with Ruto chair they should wait until 2027 ! There is no way Ruto will leave the House ….
 
Back
Top Bottom