Ipo Siku Nitakuwa wa Kwanza Kuanzisha Kampeni ya Kuwakomboa Dada Zetu Wanaojiuza: Nitafanya Hivi

Kuna mmoja ameuza sana mpaka sasa amejenga nyumba ya ndoto yake, kuacha ni ngumu sana labda kupumzika
Ukahaba ndio njia rahisi kuliko zote kwa mwanamke kuingiza kipato. Kuna makahaba wanaingiza hela ambayo hakuna biashara yoyoote anayoweza kufanya akaingiza hela hiyo. Sasa ukimuambia aache ukahaba ukamfundishe sijui vikundi vya ushirika, sijui ujasiriamali anaweza kukuona kituko.
 
Nimekwambia kuna mmoja kajenga nyumba ya ndoto zake kupitia biashara hio
 
Utoto raha! Machangudoa wamezoea hela ya chapchap. Kwao leo ndiyo muhimu na kesho itajiseti.
Mkuu hatu anzi kuwatoa huko machangudoa wenye nguvu. Tuaanza kuwakusanya waliochoshwa na mikandamizio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…