Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Dawa ya kuondoa ukahaba ni kuwafyekelea mbali wanao wanunua, the other gender ndio kiini cha kila tatizo dunia hii, waondoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini unatuchukia lakini?Dawa ya kuondoa ukahaba ni kuwafyekelea mbali wanao wanunua, the other gender ndio kiini cha kila tatizo dunia hii, waondoke
Kuna mmoja ameuza sana mpaka sasa amejenga nyumba ya ndoto yake, kuacha ni ngumu sana labda kupumzikaSasa ni wakati wa kuchukua hatua!
Kingereza kingumu emu andika kiswahiliI support your purpose, I am ready when you will be.
Ukahaba ndio njia rahisi kuliko zote kwa mwanamke kuingiza kipato. Kuna makahaba wanaingiza hela ambayo hakuna biashara yoyoote anayoweza kufanya akaingiza hela hiyo. Sasa ukimuambia aache ukahaba ukamfundishe sijui vikundi vya ushirika, sijui ujasiriamali anaweza kukuona kituko.Kuna mmoja ameuza sana mpaka sasa amejenga nyumba ya ndoto yake, kuacha ni ngumu sana labda kupumzika
Huyu single maza anasema alhamis atakuja yaani itakua ni show ya kufa na kusaga menoNajua mambo yako wewe🤣🤣
HahahHuyu single maza anasema alhamis atakuja yaani itakua ni show ya kufa na kusaga meno
Mkuu unajua nini..Hahah
Nimekwambia kuna mmoja kajenga nyumba ya ndoto zake kupitia biashara hioUkahaba ndio njia rahisi kuliko zote kwa mwanamke kuingiza kipato. Kuna makahaba wanaingiza hela ambayo hakuna biashara yoyoote anayoweza kufanya akaingiza hela hiyo. Sasa ukimuambia aache ukahaba ukamfundishe sijui vikundi vya ushirika, sijui ujasiriamali anaweza kukuona kituko.
Ahahahha huyo tena..realMamy kama we ni single maza kuna fursa hapa mtu wangu🥰🤣🤣
Utoto raha! Machangudoa wamezoea hela ya chapchap. Kwao leo ndiyo muhimu na kesho itajiseti.
Mkuu hatu anzi kuwatoa huko machangudoa wenye nguvu. Tuaanza kuwakusanya waliochoshwa na mikandamizioUkahaba ni changamoto inayowakumba dada zetu kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi, ukosefu wa elimu, na ukosefu wa msaada wa kijamii. Katika juhudi za kuleta mabadiliko, ipo siku nitaanzisha kampeni yenye lengo la kuwaokoa na kuwapa maisha mapya. Kampeni hii itajikita kwenye mikakati ifuatayo:
1. Kutoa Elimu ya Kujitambua na Kujiheshimu
Nitahamasisha dada zetu kuelewa thamani yao kama binadamu na umuhimu wa kujiheshimu. Kwa kushirikiana na wataalamu wa saikolojia na viongozi wa jamii, nitaendesha warsha zitakazolenga kuwajengea uwezo wa kujitambua, kujiamini, na kuchukua hatua za kuboresha maisha yao.
2. Kutoa Mafunzo ya Ufundi, Ujasiriamali, na Elimu ya Kiroho ya Kiuchumi
Nitahakikisha wanapokea mafunzo yanayolenga kuwapa ujuzi wa kujiajiri na kutengeneza kipato halali. Elimu ya kiroho ya kiuchumi itawasaidia kuelewa jinsi imani yao na maadili vinaweza kuwa msingi wa mafanikio yao ya kifedha, huku wakijifunza nidhamu ya kifedha na maono ya kiuchumi.
3. Kuchangisha Fedha kwa Ajili ya Kuwapeleka Vyuo vya Kupata Ujuzi unaoweza kuwajengea kujiamini na kuanzisha Miradi au Biashara Halali.
Nitafanya kampeni ya kuchangisha fedha kwa kushirikiana na mashirika, watu binafsi, na serikali ili kufanikisha kuwapeleka dada zetu kwenye vyuo vya VETA na vyuo vingine vya mafunzo ya ufundi. Mafunzo haya yatawasaidia kupata ujuzi utakaowawezesha kufungua akili zao, kujiajiri, na hata kuajiri wengine.
4. Kuunda Vikundi vya Ushirika na Fursa za Mikopo
Nitahamasisha uundaji wa vikundi vya ushirika vinavyotoa msaada wa kifedha kwa kupitia mikopo midogo midogo. Hii itawawezesha kuanza biashara ndogo ndogo baada ya kumaliza mafunzo yao ya ufundi.
5. Kutoa Huduma za Ushauri Nasaha na Kisaikolojia
Huduma za kisaikolojia zitakuwa sehemu muhimu ya kampeni hii ili kuwasaidia dada zetu kuondokana na msongo wa mawazo na majeraha ya kihisia yaliyotokana na maisha yao ya awali.
6. Kuanzisha Makazi ya Mpito na Kutoa Msaada wa Kimsingi
Kwa wale ambao hawana makazi, nitaunda vituo vya mpito ambavyo vitatoa malazi, chakula, na msaada wa kisaikolojia. Hii itawaweka katika mazingira salama huku wakipokea mafunzo na msaada mwingine wa maendeleo.
7. Kushirikiana na Mashirika na Serikali
Nitashirikiana na serikali, mashirika ya kijamii, na taasisi binafsi ili kuhakikisha rasilimali na msaada vinapatikana kwa ajili ya kufanikisha malengo ya kampeni hii.
8. Kufanya Kampeni za Kijamii na Mitandao ya Kijamii
Nitapinga unyanyapaa dhidi ya dada zetu kupitia kampeni za kijamii, vyombo vya habari, na mitandao ya kijamii. Nitahamasisha jamii kushiriki kwa kutoa msaada wa kifedha, vifaa, au hata ushauri wa kitaalamu.
Kampeni hii italenga kubadilisha maisha ya dada zetu kwa kuwapa elimu, ujuzi, na matumaini mapya. Kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwapeleka kwenye vyuo vya VETA ni hatua muhimu ya kuhakikisha wanapata fursa za kujiajiri na kuajiriwa. Kwa pamoja, tunaweza kuleta mabadiliko chanya na kuhakikisha maisha yao yanakuwa yenye heshima na thamani. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua!
Ngurumbembe hilo unaliogopaAhahahha huyo tena..
Kwanza mi staki wababe wababe
Mtu kajenga mpaka nyumba na kua na viasset na kutoa ajira kwa vijana wengine kwa kufanya hio biashara ni ngumu sana kuikomeshaMkuu hatu
Anzi kuwatoa huko machangudoa wenye nguvu. Tuaanza kuwakusanya waliochoshwa na mikandamizio
Mi staki mamb0 ya kupelekeshana mimiNgurumbembe hilo unaliogopa
Hilo ngurumbembe sura ya baba utachezea makofiMi staki mamb0 ya kupelekeshana mimi
Ndo mana nimesema mapema..Hilo ngurumbembe sura ya baba utachezea makofi
Ngurumbembe huliweziNdo mana nimesema mapema..
Maana mimi hasira zangu huwa naishia kulia tuu mkuu