Ipo siku Simba atatambulishwa kuwa amesajiliwa Yanga

Mwanzo wa msimu mnaanza na maumivu kwenye rohoo❗️
Msimu huu viongozi mjichunge sana
msije kusema hamkuambiwa🦘
 
Ni suala la mda

Ni wazi umafia wa Klabu ya Yanga anao mfanyia Simba, ipo siku kutakucha na taarifa ya "SIMBA IMESAJILIWA NA YANGA"
Tunataka ligi ya Tanzania iende mbele kiushindani,timu zikishiriki michuano ya kimataifa ilete manufaa.Siyo kukomoana tu kusiko na tija yeyote kwa kisingizio cha utani wa jadi.Wanachofanya Yanga hakuna tofauti na ulofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…