Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Kwa upande wa uzalendo bado hatujawah kua nao, ili tufikie malengo iwepo katiba yenye makali kuanzia Rais mpaka raia! Pia uwepo utaratib wa elimu kuanzia utoto mpaka watu wazima kuhusu kua wazalendo kwa Taifa lao, but hatuna wazalendo au uzalendo kwa Taifa letu!!!
 
Hakuna mtu yoyote aliyegusa maisha ya watu iwe kwa mabaya ama mazuri ambaye kumbukumbu zake hazipo. Mpaka leo, kumbukumbu za Hitler, Musolin na hata kina Stalin zipo. Hivyo hakuna jipya hapaa.
Sawa
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 

Wasikuchoshe miaka michache huu upumbavu utawatoka au laah watapotea nao watoto na wajukuu zetu watawaita watu km hawa vipofu, wasaliti wa nchi, ignorant...watajiuliza kwanini hawakuuona ukweli walipoelezwa ukweli...wale waliouona ukweli kwanini walikuwa powerless..

Bob Marley aliwahi kusema watu wanatafuta ukweli, kwenye magazeti, TV mitaani etc hawauoni...na ukweli hawataupata popote...so revolution will be telepathic...na mimi naona vitu vina unfold tu..JPM was a tool
 
Pole Kaka .

Shida ni Ndugu Zako Wanaoendekeza Ukabila na Ukanda Nakusahau Hii Nchi ni yetu Sote.
Watanzania wote ni ndugu zangu, na wewe pia kama huna ubaguzi wa kikabila ni ndugu zako.

Na kama una ukabila, basi hata Utanzania hauna maana kwako.
 
UNAJIDANGANYA.
Ninajidanganya kama hakufanya uovu wa ajabu.

Kila binadamu ana mapungufu lakini mapungufu ni tofauti na uovu. Mapungufu yake hakuna mwenye shida nayo, hata kama angekuwa hai.

Kuua ni uovu wa kupindukia

Kupoteza watu ni uovu uliopindukia

Kubambikia watu kesi na kisha kupora pesa zao ni uovu

Kushambulia watu kwa risasi kwa nia ya kuua ni uovu wa kupindukia

Kupendelea miradi mikubwa ya Serikali kijijini kwake ni mapungufu

Kuwafukuza wafanyakazi bila kufuata taratibu ni mapungufu

Kufanya manunuzi bila ya kufuata sheria ni mapungufu.

Japo hatupo wakamilifu, lakini tusithubutu kudhulumu uhai wa binadamu wenzetu.
 
mwende mkalijenge hili sanamu chato, jengeni mawili, la kwanza pale kwenye stendi ya mabasi ambayo haina hata gari moja wanakaa popo, na la pili jengeni pale kwenye airort wanapodondoka wachawi tu kama airport ya mobutu.
 
Yaani kwa mara ya kwanza nashangaa chama hakimpi airtime aliyekuwa mwenyekiti wake.

Kuna mengi sana watu wameyampitia.. kataa wahuni in polepole voice.

Je, alikuwa anaenda kukisambaratisha chama?

Je, alikuwa ameshapiga pin miungu watu.
 
Kajennge nyumbani kwako uwe unamuabudu huyu pimbi. Hiyo ni takataka tu, ilikataliwa na Mungu mwenyewe
 
Aje
Ajengewe na nani yani kwa mfano? Kashasahaulika. Imeisha hiyo.
 
Uko sahihi
 
Sanamu la Magufuli liwekwe karibu na la Kinjekitile Ngwale waliosababisha Vifo vingi kwa Watanganyika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzalendo hanunui midege ya bei mbaya kwa cash bila business plan.

Wakati nchi inategemea kilimo cha mvua za msimu.
Huna hela ya kupanda ndege wewe.

Panda treni basi.

Unataka nchi iwe kama familia yako ikose usafiri?
 
Hahaaa, unadhani hali ya uchumi wa Malibu ni sawa na hali ya uchumi ya kwenu?
Kweli ujinga ni janga la taifa!
Sasa unataka tujilinganishe na masikini wakati tunataka kutoka kwenye umasikini?

Hapa nani mjinga?
 
Kuna siri huwezi ukaelewa Bora tufunge midomo
Uzalendo huo ulikuwa siri tena? , Basi kuna watu mliojua hizo siri ndo maana mnampenda, kwa wasiojua siri ilikuwa ni mateso..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…