Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Huna hela ya kupanda ndege wewe.

Panda treni basi.

Unataka nchi iwe kama familia yako ikose usafiri?
Ni wewe tu hohehahe zumbukuku ulimwengu uko huku unayeona kupanda ndege issue.

Mimi nimeondoka Tanzania kwenda New York City na KLM tangu utawala wa Mkapa.

Na familia yangu inakuja kunitembelea kutoka Tanzania bila kukosa kila mwaka.

Katika mwezi uliopita kuna mtu karudi TZ na kuna mtu kaja huku.

Mimi napanda ndege za kimataifa, si za Tanzania.

Hoja niliyoijenga hapa huwezi kuielewa, kwa sababu una uwezo mdogo wa kufikiri na utapiamlo wa fikra.
 
Kumbe nahangaika na mtu asiye jua umuhimu wa Tanzania. Endelea na maisha huku.

Ni hivii; siku hizi na sisi tunaenda china na India kwa ndege za Moja kwa Moja non stop.

Ha huku nchini kwenu uchumi unachangamka kwa sababu ya ndege.

Nyie ndo mnaona kama hii nchi ibaki Nyuma, kipoli poli..nyie mpande midege hapo US. Siongei Tena na wewe mzamiaji
 
TumainiEl huu Uzi wako unatoka mapepo na mashetani.

Kuna mijitu inahasira sana baada ya kukosa asali na formula za maisha Yao kukologeka.

Nasemajeeeee! Pepo toookaaaa.
 
You are an innumerate and illiterate nincompoop without an iota of understanding regarding the complexity of the airline business, or even simple economic concepts such as competitive advantage.

This is why we can't relate.
 
You are an innumerate and illiterate nincompoop without an iota of understanding regarding the complexity of the airline business, or even simple economic concepts such as competitive advantage.

This is why we can't relate.
Try to differentiate between business and services.

The key goal of the government is to offer services to citizens and little business.
If a government can construct railways, roads and electricity facilities.. where is the profit on these three. Why not Airplane?. Whoever took you to school made you more illiterate and you were on foolishness holiday.

The country will only be built with those who have big brain and not people like you who went to school to learn foreigners economics. Country like US there are many rich people who can operate Airlines businesses and the government can do other including donations to other countries to defend their power.. please don't compare.
 
Tanzania started to develop a good enough private sector in the airline industry until Magufuli killed it deliberately so he could hold a monopoly with ATC, in the process causing air fare to go up.

Moreover, he prioritized the purchase of these planes without having a business plan.

As if that was not enough, he bought the planes without even thinking that these planes could easily be seized due to the numerous court cases which the Tanzanian government lost and is supposed to pay people their dues.

As we speak there is an ATC plane that is seized in the Netherlands due to this very reason, did you know that?

Ujanja mwingi, mbele kiza. Upumbavu mtupu.

 
Watu wanakosa content za maana za kuweka, mnatujazia servers kwa mambo ya kijinga. Nenda kaishi kwenye nyumba ya kaburi lake basi kama una mapenzi na hiyo takataka
 
Come-on niga.

Developments are not soft as you enjoy in the U.S... you found U.S already settled and you have not read its development history. They fought War to reach there.

We're also in a war.. don't undermine. Soft development will never happen.
 
Magufuli alikuwa anacheza na jukwaa. Akazima freedom of expression na kuvitisha vyombo vya habari visiandike habari asizopenda. Ni habari za kumsifu yeye na kuwaponda watangulizi wake ndiyo zilitawala

Alijuwa kuwa 90% ya Watanzania siyo werevu wa kuchambua uwongo wake. Akapandikiza uwongo ambao bado umejaa kwa Watanzania hadi leo.

He was nothing but a demon. How on earth do you have to say "Kwenye utawala wangu matajiri wataishi kama mashetani?

Ningemuelewa kama angesema "Maskini wataishi kama malaika"

I wish he could die again where he is
 
Kuna nguvu kubwa inatumika kumfanya JPM aonekane hakuwa kitu na alifanya ovyo.

Ingawaje pia kuna yake aliyokosea lakini alitenda vizuri kwa kadiri yake.
Ni kweli alitenda mengi mazuri,kama kujenga
Chato International Airport
Chato Zonal VETA
Chato zimamoto
Chato Mahakama
Chato National Park
Chato CRDB
Chato bohari kuu ya Kanda
Chato TANAPA Hotel 3 star
Chato Hospital ya rufaa
Chato proposal Stadium 🏟
Chato Office za TANESCO ghorofa 3
Chato maandali ya kuwa Mkoa

Huyu Mwamba alifanya mengi mazuri na kwa katiba yetu kulikuwa hakuna wa kumzuia.

Wapo wale wapuuzi wengine watakwambia kwani Chato ipo Rwanda !.Ukiwauliza wakutajie Wilaya moja tu iliyopelekea 10% ya miradi iliyopelekwa Chato wanabaki wakikodoa macho utafikiri wamebanwa mbavu na Chatu.

Katiba mpya Tanganyika ni muhimu sana kuliko wakati wowote kuepuka kuja kukutana na Magufuli mwingine.
 
Uzalendo huo ulikuwa siri tena? , Basi kuna watu mliojua hizo siri ndo maana mnampenda, kwa wasiojua siri ilikuwa ni mateso..
Kama alivyo sema mwenyewe "Watanzania Kuna siku mtanikumbuka sio kwa mabaya ila Mazuri" RIP Magufuli
 
4&5 tuwaachie wenyewe kama kweli wafungue file kama na ccm yenyewe haijapotea.
 

Uzalendo haufundishwi, ni mapenzi ambayo hutoka kwa mtu kwa nchi yake.

Alichohubir sana yeye ni nationalism si uzalendo
 
4&5 tuwaachie wenyewe kama kweli wafungue file kama na ccm yenyewe haijapotea.
Wakifungua hizo kesi, wewe utapona? Wewe si ndiye unatajwa kama mshiriki wa kuondoa uhai wa Ben Sanane?

Kama ulishiriki kwa namna yoyote ile, kamwe hutakuja uwe na amani. Utatangatanga huko na kule katika dhamira na roho, na mwisho wako utakuwa wa mateso na majuto.
 
Mzalendo hanunui midege ya bei mbaya kwa cash bila business plan.

Wakati nchi inategemea kilimo cha mvua za msimu.
Wala kutumia mabilioni ya shilingi ambayo ni Kodi ya wananchi kununua wapinzani kwa maslahi yake ya kisiasa. Nitakuwa Wa mwisho kusadiki kuwa jiwe alikuwa mzalendo.
 
Nipo tayari kuwa mlinzi wa Maktaba ya Mwamba Jiwe Magufuli bila malipo!
 
Natabiri mengi basi pia itakuwa nahusika na kifo cha JPM maana pia nilitabiri. Kuna mstari hupaswi kuuvuka ktk jamuhuri. Hilo ndio funzo kwangu na kwako.
 
Natabiri mengi basi pia itakuwa nahusika na kifo cha JPM maana pia nilitabiri. Kuna mstari hupaswi kuuvuka ktk jamuhuri. Hilo ndio funzo kwangu na kwako.

Quote
 
Mzalendo hanunui midege ya bei mbaya kwa cash bila business plan.

Wakati nchi inategemea kilimo cha mvua za msimu.
Mkuu Kiranga

Samia amelipa cash kwa Cargo Flight!

Nchi haitegemei tena kilimo cha mvua za msimu?

c.c pasco mayala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…