Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Aisee umeandika pumba tupu! Fupisha ili tujue mada hasa ni nini kuliko kuandika mambo mengi yasiyo na tija!
 
Katika hiyo maktaba itatakiwa kuwe na nyaraka zinazojibu maswali yafuatayo:
1. Kwa nini alisitisha ajira ikapelekea jam ya wahitimu mtaani?
2. Kwa nini wakati wa utawala wake watu wengi walipotea, maiti kuonwa kwenye fukwe za bahari na mitoni zikiwa ndani ya viroba?
3. Kwa nini alisigina katiba kwa kukataza legitimate political rallies?
4. Kwa nini alichepusha reli iliyopangwa kwenda Kigoma na kuielekeza kwao usukumani?
5. Kwa nini aliasisi mtindo wa kununua wabunge wa upinzani na kuwageuza kuwa CCM kwa hongo au vitisho?
6. Kwa nini alikamata waislam wengi na kuwasingizia ugaidi bila ya kuwa na clear evidence?
7. Why hakuongeza mishahara kwa muda wote wa uongozi wake wakati ni takwa la kisheria?
8. Kwa nini aliwatia hofu wasaidizi wake mpaka wakafikia hatua ya kumwita mungu eg. Kabudi?
 
Kajenge nyumbani kwako watoto wako wasome . Mmefiliwa mnaweweseka kutuchosha tuu
 
Yaani nyie wajinga memekuwa misukule kabisa. Mnaanzaje kumuabudu yule kima alikuwa anaua watu? Eti Magufuli day?? Pumbavu kabisa, nani aiwekee hiyo siku takataka ile?
Sheria zilizosainiwa na Magufuli jana zimezuia wizi wa maliasili za watanzania
 
Kuna nguvu kubwa inatumika kumfanya JPM aonekane hakuwa kitu na alifanya ovyo.

Ingawaje pia kuna yake aliyokosea lakini alitenda vizuri kwa kadiri yake.
Siku zote ktk jamii wapumbavu wakiwa ni wengi hata yule mwerevu haonekani.

.hii inchi ina wapumbavu wengi Sana,,

Kuna watu wanalazimisha kufifisha legacy ya MAGUFULI.
 
Majizi wakubwa
Hadi Leo barabara za mitaani vumbi tupu,,
Unaweza kutwambiya Ile miradi ya kuweka Lami na taa kwenye mitaa umefika wapi?

Mbona hiyo unayesema Ni mwizi alizitengeneza na kuacha bajeti ya pesa zitengenezwe ,,

Mbona bado kimya?

Barabara mwendo kasi ubungo kibaha Kimya Hadi Leo.
 
Siku zote ktk jamii wapumbavu wakiwa ni wengi hata yule mwerevu haonekani.

.hii inchi ina wapumbavu wengi Sana,,

Kuna watu wanalazimisha kufifisha legacy ya MAGUFULI.
Hakuna utawala mbovi na wakishetani kama wa Jiwe, sema Mungu ni mwema akatuvusha salama
 
Majizi na majambazi yaliibuliwa na Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…