Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Ufisadi wa karne ulifanyika
 
Hamia chato ukafugue Maktaba
 
Nakubaliana na wewe.
Hata mie nilimwelewa JPM kidogo sana Wakati alipokua Madarakani.

Kuna wanaharakati walaumu Kuwa watu waliuawa kipindi Cha Awamu ya Tano, a lakini hiyo sio sababu ya kuondoa historia nzuri na Uzalendo Wa JPM.

Kwenye vitabu vya Dini tunasoma historia ya Nabii Mussa .
Nabii Mussa alikua mpole na muadilifu sana Lakini Watu walipokemgeuka aliwaadhubu Kwa adhabu kali sana.
Wana Wa Israel walipoasi na kuabudu sanamu ya ndama aliwaua Watu Elfu Tano Kwa Siku moja.
Pamoja na kuua Watu Elfu Tano waliokengeuka na waliowashawishi Watu kukengeuka Lakini Leo hii Nabii Musa ni shujaa Kati ya manabii wakuu waliowahi kutokea ulimwenguni.

JPM atakumbukwa vizazi na Vizazi.
 
Huyu Magufuli na kikundi chake kidogo kililazimisha na kututeulia wabunge wa hovyo nchi nzima, alafu leo tunajiendea kana kwamba nchi haina bunge bado unampa sifa? Nanyi kwa ushabiki mlishangilia kama mazuzu, mkidhani mmeikomoa Chadema kwa ushindi wa kishindo wa bandia, leo yamewakuta alafu mnampa sifa aliyeyapika? Hebu acheni unafiki, nchi uongozwa na watu, taasisi zilizoimarishwa na mifumo thabiti iliyowekwa siyo matamko ya mkuu wa nchi.

Vijana jifunzeni acheni ulimbukeni na ushabiki husiokuwa na tija, hii nchi ni yenu, ikiaribika watakaopata shida ni nyinyi na vizazi vyenu, siyo Lissu na Mbowe.
 
Siku Zina kuja Magufuli day... Hakuna kwenda kazini...
Wameshindwa kutegua mitego yake? Toka anaingia walimdharau wakasema nguvu ya soda, mshamba, kichaa! Lakini akawashangaza na kuwaogofya.

Sasa wanashangaa hayupo lakini bado buttons zao nyingi is not functional pamoja na kuachiwa kila kitu wafanye watakalo [emoji1787]
 
Umesema kweli, ingawa kwa Samia alichomekewa na wajanja wa mission town!!
Mgombea uraisi akishachaguliwa na kutangazwa anamteua mgombea mwenza.

Kama kweli huyo Magufuli alikuwa na hayo mnayoyaita maono angemkataa Samia kwakuwa alijua kikatiba ikitokea Raisi kafa basi makamu wake anaapishwa kuwa Raisi wa nchi (na ndicho kilichotokea).

Ni sawa na kusema Leo hii ikitokea Raisi kafa basi makamu wake Mpango anaapishwa kuwa Raisi. Akivurunda mtamtwisha lawama mama Samia au sivyo? Maana baada ya yeye kuapishwa kuwa Raisi akamteua Mpango kuwa makamu wake wa Raisi. "Kwa fikra yako wewe imajini Mpango awe Raisi wa nchi itakuwaje"!!?

Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi wa Bunge hili linalolalamikiwa na walio wengi kuwepo pale Bungeni. Leo hii Bunge linaonekana halifai nani alaumiwe kama sio yeye? Maana ni Bunge lake kwa utashi wake aliona ni sahihi kufanya vile alivyofanya.

Hii ndio legacy aliyotuachia Magufuli.

Unafiki na ulalamishi na uzandiki na wizi na uvivu wa kufanya kazi na kufikiri na lawama zisizo na msingi zimetutawala na zitatutesa hadi siku tukiamua kutumia akili zetu sawasawa.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nyie wajinga memekuwa misukule kabisa. Mnaanzaje kumuabudu yule kima alikuwa anaua watu? Eti Magufuli day?? Pumbavu kabisa, nani aiwekee hiyo siku takataka ile?
Naona una hasira sana!

Magufuli pamoja na yote lakini hakuwa mpumbavu wa kuuza bandari za nchi yetu kama ilivyo leo!

Zile sheria kule bungeni kuhusu rasilimali ambazo bibiako alitaka kuzibadirisha ili kuwalinda waarabu ni yeye ndio alizitunga.

Kwanza hao watu waliouawa walikuwa wapumbavu tu kama ulivyo wewe so kwenye nchi kuua wapumbavu wachache ili kuokoa mamilioni ya wengi ni sawa tu...
 
Jiwe alifuga wezi na wajinga kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…