Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

MAGUFULI HAKUWA MZALENDO acheni kumpa Sifa za Kiccm
 
Mwamba JPM, alitikisa Dunia, nayo Dunia ilitikisika. Mwamba aliwika na ssuti yake ilisikika haswaa.
Mwamba aliipenda Tanzania na Watanzania wote.
Mwamba alikuwa tishio kwa mabeberu, walarushwa, wezi na wazembe katika kazi za umma.

Ushujaa wa pekee aliotuonesha Mwamba ni pale alipojua kabisa kwamba Kiongozi yeyote wa Afrika kujaribu kutetea Rasilimali za Nchi yake ni sawa kabisa na kuvaa kitanzi shingoni mwake, lakini yeye hakurudi nyuma hata kidogo.

Kwa kifupi kabisa ni kwamba, JPM alipambana mpaka tone lake la mwisho bila kusalimu amri.

Ndo maana utakuta lile GENGE la mafisadi linajaribu kupambana naye, lakini unafika wakati wanashindwa, kwani Mungu hawapendi wanafiki.
 
Labda dunia ya kwenu Burundi
 
Umenena vyema kabisa
 

Ukiwasikia hawa majuha wanaongelea kuhusu huyu mtu wao unaweza hisi alikuwa na akili kumbe upupu mtupu!!

Alipoteza hela nyingi tu za wananchi kwa sifa za kijinga kabisa!! Watanzania wangapi sasa hiv wanaopandanhizo dreamliner?

Na uwanja wa mamilioni kajenga chato!!

Hawa wasukuma wa kupuuza tu, akili kichwani hamna!!
 
Uzalendo mavi, na mapesa yote alioenda ficha china!! Hiv wasukuma mnaumwa ugonjwa gani?
Mkuu usiunganishe kabila zima lenye mamilioni ya watu na ujinga wa watu wachache.

Wasukuma wengi tu tumempinga Magufuli tangu siku nyingi sana na mpaka leo tunaendelea kupinga siasa zake.

Tafadhali ondoa kauli za kuchochea ukabila JF.

Wasukuma wangekuwa na ujinga wa ukabila hii nchi isingekuwa na amani hivi.

Well, isingekuwa na kukosa vita hivi, maana amani haina.
 
Mitume tunayoisoma kwenye vitabu vya dini ilikataza masanamu, Mtanzania wa leo anajenga masanamu.

Aliyeshauri kujengwe sanamu apige hesabu mitume walibomoa masanamu miaka mingapi nyuma, atajieleaankuws yupo nyuma kwa miaka mingapi.

Kwa watu wenye fikra zilizo nyuma kwa miaka hiyo tutegemee maendeleo? Mawee!
 
Mimi kama mimi, kwa heshima yake yeye kama yeye, ambaye aliaminiwa kuishika nafasi ya Rais wa nchi yetu katika awamu ya 5, kesho sintakuja jukwaani kwa ajili ya maoni yoyote yule kuhusu yeye.

Nathamini nafasi ya familia katika maombolezo, kumbukizi na hata kusheherekea mazuri yake kama mume, baba wa familia, mjomba, baba mkubwa, baba mdogo, kaka, mpwa, rafiki, jamaa wa karibu, mwana jumuiya, muumini, mteja, mpangaji, mlipa kodi, kiongozi wa CCM, dikteta, muimla, dhalimu, fedhuli, amiri jeshi mkuu, Rais, Mwenyekiti Taifa wa CCM, jirani, mchepuko, na sifa nyingine yoyote ile aliyokuwa nayo kama binadamu wa kawaida mwenye sifa ya kuwa "possessed to many societies" na jina ake kubadilika kutokana na matakwa ya wakati.
 
Mimi kesho nitashinda hapa Picnic bar Arusha napiga K-vant
 
Walamba asali wanatamani huu uzi ufutwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…