Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Yaani nyiee, siku nikiwa Rais wa hii nchi MTAJAMBA KWA MIDOMO.

Magufuli aliwachekea sana majizii sijui kwanini! Alikuwa anayahurumiaa!!

JIZI linastahili SIME YA UTOSI unagawanya katikati utumbo nje.

If i will ever be the president, I will eat your flesh on my dinner table.

Jizi Nani? Wewe ndio jizi. Mnaiba Trilioni 1.5 bila huruma.
 
Majizi lazima yapigwe bakora na mijeledi.

Natamani niwe Rais wa hii nchi, nitawabamiza kweli kweli.

Tena magufuli aliwachekea sana, ilipaswa mpigwe risasi hadharani kwenye uwanja wa taifa.

Na ikibidi kukatwa kwa SIME katikati ya utosi mpaka miguuni.

Nitakuwa KATILI KWELI KWELII... I promise to be A BRUTAL MONSTER..... ombeni sana nisipenye huko. MAJIZI MTAHAMA NCHI.
1.5 trillion zipo wapi?
 
Sabaya leo hii yupo lupango kisa ukola
 
Yaani nyiee, siku nikiwa Rais wa hii nchi MTAJAMBA KWA MIDOMO.

Magufuli aliwachekea sana majizii sijui kwanini! Alikuwa anayahurumiaa!!

JIZI linastahili SIME YA UTOSI unagawanya katikati utumbo nje.

If i will ever be the president, I will eat your flesh on my dinner table.
Labda uwe rais wa Burundi kwenu
 
Hakuwahi kuwa mzalendo, hzo porojo peleka huko alikolala...sanamu hata mbwa unaweza kumchongea sanamu pia...atakumbukwa kwa ukatiri wake tu... kama ni barabara hata mkoloni alijenga , kama ni reli hata mkoloni alijenga japo sio nchi yake ...
 
Mimi kama mimi, kwa heshima yake yeye kama yeye, ambaye aliaminiwa kuishika nafasi ya Rais wa nchi yetu katika awamu ya 5, kesho sintakuja jukwaani kwa ajili ya maoni yoyote yule kuhusu yeye.

Nathamini nafasi ya familia katika maombolezo, kumbukizi na hata kusheherekea mazuri yake kama mume, baba wa familia, mjomba, baba mkubwa, baba mdogo, kaka, mpwa, rafiki, jamaa wa karibu, mwana jumuiya, muumini, mteja, mpangaji, mlipa kodi, kiongozi wa CCM, dikteta, muimla, dhalimu, fedhuli, amiri jeshi mkuu, Rais, Mwenyekiti Taifa wa CCM, jirani, mchepuko, na sifa nyingine yoyote ile aliyokuwa nayo kama binadamu wa kawaida mwenye sifa ya kuwa "possessed to many societies" na jina ake kubadilika kutokana na matakwa ya wakati.
Mimi ntasherekea kama vile sherehe za uhuru
 
Halafu nimegundua, wanaoeneza PROPAGANDA ZA KUMTWEZA MAGUFULI wako Jamiiforums tu.

Mtaani hali ni tofauti, watu wanamlilia sana chuma na kumsifu kwa mambo mazuri aliyoyafanya.

Lakini ukiingia kwenye haka kamtandao cha propaganda unakutana na MULTIPLE IDs zinamfokea JPM.

Haka kamtandao cha propaganda cha Jamiiforums katazamwe, kuna kitu.
Mkuu so hawa watu wa humu wanaishi mbinguni au sijakuelewa?
 
Back
Top Bottom