Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Habari zenu wakuu, niende direct kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu.
Bila kupepesa macho, hili suala la mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World lilijawa mihemko ya kimaslahi binafsi na Kicmm sana. Yaani karibia CCM wote wanakubali mkataba bila kujali maslahi mapana ya taifa!
Niwaambie tu hili zimwi litakuja kukutafuna ipite siku, mwaka na hata miaka, lakini ipo siku tutakuja kulialia hapa.