Ni vema kabisa KUHESHIMU wazo la waanzilishi wa iliyokuwa NICO, wazo lilikuwa nzuri saana, ni vigumu saana kwa mtanzania moja moja kujikusanya kimtaji na kuwekeza kwenye madini, huduma za mabank,uvuvi, ufugaji na kilimo.....wazo lilikuwa tuungane na vimitaji vyetu vidogo tuwekeze........wapo watu waliowabeza.....wengine wakahisi ulikuwa ni utapeli nk.......hao walishindwa kwani.....hawa waanzilishi wa NICO baada ya kukusanya mtaji wa kutosha walishindwa.....kabisa kuimpliment yale mawazo
.....uwekezaji wa kwanza kabisa walioufanya kwa shinikizo walijenga kiwanda kikubwa cha minofu ya samaki....Mwanza...nadhani Bomani atakuwa anaweza akawaambia waliowaamini kwanini walifanya uwekezaji huu bila kuangalia faida na hasara.............pia waliwekeza Moshi kwenye kiwanda cha madawa...na kiwanda cha kusindika kahawa......hapa Benjamin&Reginald mnatakiwa mtuambie sie tuliowaamini kwanini mlipeleka pesa za wanahisa kwenye hivi viwanda viwili ilihali mlikuwa mnajua vilikuwa vimeshakufa..........
Ntawasifu tu kwa uwekezaji mlioufanya kwa machinjio ya DODOMA na NNM angalau kwa haya maeneo mawili mnahitaji pongezi....
Mosha Felix Ungeacha UBINAFSI ukawajibika tangu pale mwanzo sidhani kama tungafika hapa tulipo leo...nasikitika umeendelea kuwa kinganganizi...ilihali unajua ulishindwa kuiongoza NICO...wakina Bomani na Reginald..Simba Idd kwanini msingejiweka pembeni mkahire mgmnt company ikaongoza hii kampuni?????
mnapokuwa vinganagnizi tunawaona kama mna maslahi binafsi
kumbukeni pesa mnazogombania ni michango yetu