majid musisi
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 184
- 36
Habari zenu wana jamvi,hivi hii kampuni ya NICO ambayo ilianzishwa kwa mbwembwe kwelikweli na kutangazwa sana na vyombo vya habari kwamba itakuwa mkombozi wa kweli kwa watanzania na kuanza kuuza hisa kwa wananchi mbalimbali hali iliyoleta matumaini kwa wengi kiasi maelfu walinunua hisa zao.
Je?mbona kimya kimezidi hakuna maendeleo yoyote kuhusu hiyo kampuni wala shughuli za uwekezaji zinazoeleweka.
Naombeni updates kwa anaejua kama bado ipo au imekufa,na imewekeza kwenye maeneo yapi kiuchumi?
Naomba kuwasilisha.