Ipo wapi kampuni ya uwekezaji ya NICO

Ipo wapi kampuni ya uwekezaji ya NICO

majid musisi

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
184
Reaction score
36
Habari zenu wana jamvi,hivi hii kampuni ya NICO ambayo ilianzishwa kwa mbwembwe kwelikweli na kutangazwa sana na vyombo vya habari kwamba itakuwa mkombozi wa kweli kwa watanzania na kuanza kuuza hisa kwa wananchi mbalimbali hali iliyoleta matumaini kwa wengi kiasi maelfu walinunua hisa zao.

Je?mbona kimya kimezidi hakuna maendeleo yoyote kuhusu hiyo kampuni wala shughuli za uwekezaji zinazoeleweka.

Naombeni updates kwa anaejua kama bado ipo au imekufa,na imewekeza kwenye maeneo yapi kiuchumi?
Naomba kuwasilisha.
 
...baada ya hela kuwa tamu viongozi walianza purukushani za kufukuzana mpaka mahakamani,ata sijui wameishia wapi,bongo bhanaaa...
 
Kampuni ilikuwa ikiongozwa na mosha kama fund manager!ila alitumia mabilioni kadhaa kununua kiwanda cha madawa cha ndugu reginald mengi ambacho kilikuwa kinakaribia kufa,baada ya kukinunua kikashindwa kuendelea na uzalishaji na matokeo yake pesa za walionunua hisa zikawa zimepotea.

Ikafungiwa na dar stock exchange na walikutana ktk kikao Mengi alikanusha kuhusika kumshinikiza fund manager anunue hicho kiwanda.watakuwa walichagua uongozi mpya.
 
Habari zenu wana jamvi,hivi hii kampuni ya NICO ambayo ilianzishwa kwa mbwembwe kwelikweli na kutangazwa sana na vyombo vya habari kwamba itakuwa mkombozi wa kweli kwa watanzania na kuanza kuuza hisa kwa wananchi mbalimbali hali iliyoleta matumaini kwa wengi kiasi maelfu walinunua hisa zao.Je?mbona kimya kimezidi hakuna maendeleo yoyote kuhusu hiyo kampuni wala shughuli za uwekezaji zinazoeleweka.
Naombeni updates kwa anaejua kama bado ipo au imekufa,na imewekeza kwenye maeneo yapi kiuchumi?
Naomba kuwasilisha.

Ni vema kabisa KUHESHIMU wazo la waanzilishi wa iliyokuwa NICO, wazo lilikuwa nzuri saana, ni vigumu saana kwa mtanzania moja moja kujikusanya kimtaji na kuwekeza kwenye madini, huduma za mabank,uvuvi, ufugaji na kilimo.....wazo lilikuwa tuungane na vimitaji vyetu vidogo tuwekeze........wapo watu waliowabeza.....wengine wakahisi ulikuwa ni utapeli nk.......hao walishindwa kwani.....hawa waanzilishi wa NICO baada ya kukusanya mtaji wa kutosha walishindwa.....kabisa kuimpliment yale mawazo

.....uwekezaji wa kwanza kabisa walioufanya kwa shinikizo walijenga kiwanda kikubwa cha minofu ya samaki....Mwanza...nadhani Bomani atakuwa anaweza akawaambia waliowaamini kwanini walifanya uwekezaji huu bila kuangalia faida na hasara.............pia waliwekeza Moshi kwenye kiwanda cha madawa...na kiwanda cha kusindika kahawa......hapa Benjamin&Reginald mnatakiwa mtuambie sie tuliowaamini kwanini mlipeleka pesa za wanahisa kwenye hivi viwanda viwili ilihali mlikuwa mnajua vilikuwa vimeshakufa..........

Ntawasifu tu kwa uwekezaji mlioufanya kwa machinjio ya DODOMA na NNM angalau kwa haya maeneo mawili mnahitaji pongezi....
Mosha Felix Ungeacha UBINAFSI ukawajibika tangu pale mwanzo sidhani kama tungafika hapa tulipo leo...nasikitika umeendelea kuwa kinganganizi...ilihali unajua ulishindwa kuiongoza NICO...wakina Bomani na Reginald..Simba Idd kwanini msingejiweka pembeni mkahire mgmnt company ikaongoza hii kampuni?????
mnapokuwa vinganagnizi tunawaona kama mna maslahi binafsi
kumbukeni pesa mnazogombania ni michango yetu
 
depositphotos_10317798-Close-up-of-a-female-patient-receiving-oxygen-mask.jpg
 
Toka ninunue hisa sijawahi pata taarifa binafsi zozote kutoka NICO, mwaka wa 7 sasa, hata mtandaoni hawapo.
 
Ni vema kabisa KUHESHIMU wazo la waanzilishi wa iliyokuwa NICO, wazo lilikuwa nzuri saana, ni vigumu saana kwa mtanzania moja moja kujikusanya kimtaji na kuwekeza kwenye madini, huduma za mabank,uvuvi, ufugaji na kilimo.....wazo lilikuwa tuungane na vimitaji vyetu vidogo tuwekeze........wapo watu waliowabeza.....wengine wakahisi ulikuwa ni utapeli nk.......hao walishindwa kwani.....hawa waanzilishi wa NICO baada ya kukusanya mtaji wa kutosha walishindwa.....kabisa kuimpliment yale mawazo

.....uwekezaji wa kwanza kabisa walioufanya kwa shinikizo walijenga kiwanda kikubwa cha minofu ya samaki....Mwanza...nadhani Bomani atakuwa anaweza akawaambia waliowaamini kwanini walifanya uwekezaji huu bila kuangalia faida na hasara.............pia waliwekeza Moshi kwenye kiwanda cha madawa...na kiwanda cha kusindika kahawa......hapa Benjamin&Reginald mnatakiwa mtuambie sie tuliowaamini kwanini mlipeleka pesa za wanahisa kwenye hivi viwanda viwili ilihali mlikuwa mnajua vilikuwa vimeshakufa..........

Ntawasifu tu kwa uwekezaji mlioufanya kwa machinjio ya DODOMA na NNM angalau kwa haya maeneo mawili mnahitaji pongezi....
Mosha Felix Ungeacha UBINAFSI ukawajibika tangu pale mwanzo sidhani kama tungafika hapa tulipo leo...nasikitika umeendelea kuwa kinganganizi...ilihali unajua ulishindwa kuiongoza NICO...wakina Bomani na Reginald..Simba Idd kwanini msingejiweka pembeni mkahire mgmnt company ikaongoza hii kampuni?????
mnapokuwa vinganagnizi tunawaona kama mna maslahi binafsi
kumbukeni pesa mnazogombania ni michango yetu
Wako wapi hawa maana hata mimi niliwekeza vipesa vyangu kule.
 
UKINUNUA HISA WEWE NI MMOJA YA WAMILIKI WA KAMPUNI SO WAKIFILISIKA HAMNA KUDAI CHOCHOTE

shareholders shares profit and loss
 
Back
Top Bottom