Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Salut kwaoThe carters wako wapiπ π
UpindeHuyo namba 3 huyo huyo huyo
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Huyo namba 3 huyo huyo huyo
Upindeπ€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Billboards NDIO wamepanga...Imekuwaje Whitney kawa mamba 9?
NALIA NGWENA yupo wapi hapo!!View attachment 2628772
Ipokee Hii Orodha Ya Wasanii 10 Bora Wa Muda Wote (Greatest Of All Time) Kwa Mujibu Wa #Billboard Huku #RIHANNA Akipata Bahati Ya Kuwa Msanii Mwenye Umri Mdogo Kwenye List Hiyo.
1. #TheBeatles
2. #Madonna
3. #EltonJohn
4. #ElvisPresley
5. #MariahCarey
6. #StevieWonder
7. #JanetJackson
8. #MichaelJackson
9. #WhitneyHouston
10. #Rihanna
Vipi Kibongo Bongo Uanweza Kuipangaje List Ya Wasanii Bora Wa Muda Wote?
Hao wahuni, Wit hawezi kupitwa na Mariah wala JanethBillboards NDIO wamepanga...
Mkuu mbona hata Lionel Richie hayupoπππRihana anaingia top 10 alafu Celine hayumo?
Yupo anachati na Jf ladies πππ€π€ππππNALIA NGWENA yupo wapi hapo!!
Nilijua uhuni upo BASATA tu[emoji3]Mkuu mbona hata Lionel Richie hayupo[emoji2][emoji2][emoji4]