Ipokee hii Orodha ya Wasanii 10 bora wa muda wote Duniani (Greatest Of All Time)

Ipokee hii Orodha ya Wasanii 10 bora wa muda wote Duniani (Greatest Of All Time)

R. Kelly daah huyu mwamba
Hapo anapiga vocal kavu akiwa gerezani for his fellow inmates "I'm in prison". He sounds so good! No auto tune, no studio, no microphone, no engineers.
Mimi namsubiri atoke, akirudi uraiani ndiyo nitaendelea kusikiliza R&B. Hawa waliopo wanafanya comedy tu only a few wanajitahidi sana.
 
Afica tuna hawa.
👇

Oliva Mtukudzi.
Franco Makiadi.
Selif Keita.
Miriam Makeba.
Anjeliki Kidjo.
Yousso Ndour.
Lucky Dube.
Ivyon Chakachaka.
Kasav.
Bisso na Bisso.
Dimond Platnumz.
 
Hiyo list ilitakiwa kubeba kings and queens pekee

  • weka king wa Pop - MJ
  • Weka king wa Reggae - Bob Marley
  • Weka king wa RnB - R Kelly
  • Weka king wa hip-hop - 2pac

Na wengineo kwa utaratibu huo
 
Hapo anapiga vocal kavu akiwa gerezani for his fellow inmates "I'm in prison". He sounds so good! No auto tune, no studio, no microphone, no engineers.
Mimi namsubiri atoke, akirudi uraiani ndiyo nitaendelea kusikiliza R&B. Hawa waliopo wanafanya comedy tu only a few wanajitahidi sana.
Unahisi ataachiwa kweli mkuu?
 
Unahisi ataachiwa kweli mkuu?
Nahisi, maana kuna sarakasi wamenza kuzicheza kwenye ile kesi na nikama Wakili wake anataka iww reviewed chini ya kifungu fulani ambacho sikikumbuki.
Ila comments za watu zilionyesha likifanyika hilo basi Milango gereza itafunguka na kumuacha huru
 
Huyo Steve Wonder, sjamwelewa vizuri, je ni huyu anayelia Ampende Nani, au ni mwingine.
Ni mmarekani ni kipofu ni mtu mbadi....
BET awards wanamtambua kama sana na amewai kuchukua Bet life achievement awards 😊😊😊🤓🤓
 
Back
Top Bottom