Ipokee hii Orodha ya Wasanii 10 bora wa muda wote Duniani (Greatest Of All Time)

View attachment 2628772
Ipokee Hii Orodha Ya Wasanii 10 Bora Wa Muda Wote (Greatest Of All Time) Kwa Mujibu Wa #Billboard Huku #RIHANNA Akipata Bahati Ya Kuwa Msanii Mwenye Umri Mdogo Kwenye List Hiyo.

1. #TheBeatles
2. #Madonna
3. #EltonJohn
4. #ElvisPresley
5. #MariahCarey
6. #StevieWonder
7. #JanetJackson
8. #MichaelJackson
9. #WhitneyHouston
10. #Rihanna

Vipi Kibongo Bongo Uanweza Kuipangaje List Ya Wasanii Bora Wa Muda Wote?
Yaani Rihanna ni bora kuliko Prince na Celine Dion? WTF!?
 
ni ubatili mtupu huu, chati ni hii 1. Marley 2. M. Jackson 3.Tupac 4. Celine 5. Boys to Men 6.Madona 7. R.Kelly 8.Lionel Richie 9.Judy Boucher 10.Houston 11. Abba 12.Kool & the gang 13. Michael Bolton 14. Kenny Rogers 15. Aliyekufa juzi 16......,.... Endelezeni wadau
 
View attachment 2628772
Ipokee Hii Orodha Ya Wasanii 10 Bora Wa Muda Wote (Greatest Of All Time) Kwa Mujibu Wa #Billboard Huku #RIHANNA Akipata Bahati Ya Kuwa Msanii Mwenye Umri Mdogo Kwenye List Hiyo.

1. #TheBeatles
2. #Madonna
3. #EltonJohn
4. #ElvisPresley
5. #MariahCarey
6. #StevieWonder
7. #JanetJackson
8. #MichaelJackson
9. #WhitneyHouston
10. #Rihanna

Vipi Kibongo Bongo Uanweza Kuipangaje List Ya Wasanii Bora Wa Muda Wote?
Wasanii au wanamuziki?
 
No body told me there's days like this.........[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445] Strange days indeed........the Beatles [emoji3578][emoji3578]
 
View attachment 2628772
Ipokee Hii Orodha Ya Wasanii 10 Bora Wa Muda Wote (Greatest Of All Time) Kwa Mujibu Wa #Billboard Huku #RIHANNA Akipata Bahati Ya Kuwa Msanii Mwenye Umri Mdogo Kwenye List Hiyo.

1. #TheBeatles
2. #Madonna
3. #EltonJohn
4. #ElvisPresley
5. #MariahCarey
6. #StevieWonder
7. #JanetJackson
8. #MichaelJackson
9. #WhitneyHouston
10. #Rihanna

Vipi Kibongo Bongo Uanweza Kuipangaje List Ya Wasanii Bora Wa Muda Wote?

Kwa sasa R&B ipo gerezani, tunasubiri imalize kufungo.
 
View attachment 2628772
Ipokee Hii Orodha Ya Wasanii 10 Bora Wa Muda Wote (Greatest Of All Time) Kwa Mujibu Wa #Billboard Huku #RIHANNA Akipata Bahati Ya Kuwa Msanii Mwenye Umri Mdogo Kwenye List Hiyo.

1. #TheBeatles
2. #Madonna
3. #EltonJohn
4. #ElvisPresley
5. #MariahCarey
6. #StevieWonder
7. #JanetJackson
8. #MichaelJackson
9. #WhitneyHouston
10. #Rihanna

Vipi Kibongo Bongo Uanweza Kuipangaje List Ya Wasanii Bora Wa Muda Wote?
bob marley
 
Wapo wapi Don Williams, Johhny Cash, Beegees? Jim Reeves? Julio Iglesias, R. Kelly, Marijan Rajabu, Francoo Luambo Makiadi, Tabu Ley? Boby Dylan? Gypsy King? Alejandro Sanz?
 
Back
Top Bottom