R. Kelly daah huyu mwamba
Hapo anapiga vocal kavu akiwa gerezani for his fellow inmates "I'm in prison". He sounds so good! No auto tune, no studio, no microphone, no engineers.R. Kelly daah huyu mwamba
MaajabuRihana anaingia top 10 alafu Celine hayumo?
Unahisi ataachiwa kweli mkuu?Hapo anapiga vocal kavu akiwa gerezani for his fellow inmates "I'm in prison". He sounds so good! No auto tune, no studio, no microphone, no engineers.
Mimi namsubiri atoke, akirudi uraiani ndiyo nitaendelea kusikiliza R&B. Hawa waliopo wanafanya comedy tu only a few wanajitahidi sana.
Yap kuna Queen of hiphop soul Mary J Blige.Hiyo list ilitakiwa kubeba kings and queens pekee
- weka king wa Pop - MJ
- Weka king wa Reggae - Bob Marley
- Weka king wa RnB - R Kelly
- Weka king wa hip-hop - 2pac
Na wengineo kwa utaratibu huo
Nahisi, maana kuna sarakasi wamenza kuzicheza kwenye ile kesi na nikama Wakili wake anataka iww reviewed chini ya kifungu fulani ambacho sikikumbuki.Unahisi ataachiwa kweli mkuu?
Ni mmarekani ni kipofu ni mtu mbadi....Huyo Steve Wonder, sjamwelewa vizuri, je ni huyu anayelia Ampende Nani, au ni mwingine.
Umesahau prof.j, sugu, joh makini, josiline,dully, T.id, ngwear, jay mo, chid benz, marlaw, matonya, madee N.kAlikiba
Mr.Blue
Diamond platnumz
Barnaba classic
Fid Q
Koffie Olomide yuko wapi?π€·
Bila Rhumba artists hiyo list ni faken..