Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Rais wa Wabunge Wanawake wa IPU, Cynthia Lopez, amemtaja Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mfano wa uongozi wa wanawake duniani, akisisitiza umuhimu wa wanawake kushiriki na kuongoza katika nafasi za
maamuzi.
maamuzi.