Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Chadomo watalia sana 😂Wewe jamaa mimi sijawahi kukuelewa una undugu na ChoiceVariable Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah bila kumsahau Dr wa Manesi maana naona km ID zenyu zinafanana
Kwani wewe unatumia ID ngapi humu?Chadomo watalia sana 😂
MojaKwani wewe unatumia ID ngapi humu?
SahihiRais wa Wabunge Wanawake wa IPU, Cynthia Lopez, amemtaja Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mfano wa uongozi wa wanawake duniani, akisisitiza umuhimu wa wanawake kushiriki na kuongoza katika nafasi za maamuzi.View attachment 3685833
Chadema wanakurupuka sana wanataka kila sehemu wafike waoIPU wako sahihi. CHADEMA wataanza kuwatukana IPU.
so what gentleman?🐒Wewe jamaa mimi sijawahi kukuelewa una undugu na ChoiceVariable Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah bila kumsahau Dr wa Manesi maana naona km ID zenyu zinafanana
Huyu huenda ni Bin Gagula.Wewe jamaa mimi sijawahi kukuelewa una undugu na ChoiceVariable Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah bila kumsahau Dr wa Manesi maana naona km ID zenyu zinafanana
Yule bibi wa Mbeya si ndio menyekiti wa IPU lazima Samia awe kiongozi bora Africa kwa hilo.Rais wa Wabunge Wanawake wa IPU, Cynthia Lopez, amemtaja Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mfano wa uongozi wa wanawake duniani, akisisitiza umuhimu wa wanawake kushiriki na kuongoza katika nafasi za
maamuzi.