Iramba hatumtaki tena Mwigulu Nchemba

Akawapa kofia na pombe za kienyeji mtamchagua tena
 
Kwani mlimchagua, mnasahau haraka sana,hakuna mbunge wa CCM aliechaguliwa na wananchi au alieshinda kwa kura za jimbo lake.
 
Ashukuriwe Mungu!! ufahamu wako umerejea!!
 
Miaka ya nyuma ilikuwa poa. Miaka ya M/zake ndiyo aliharibu demokrasia!
 
Na amewawakilisha vyema kwelikweli huyu msanii wenu wa mapesa
 
Mara Ubalozi mara Urais?

Sema kama hafai hafai sio unatuzunguka zunguka hapa.

Afu yeye ni waziri wa Tanzania sio Wa Jimbo.
 
Kikwete sizan kama atafit kwenye battle ya awo wawili
 
Kwa hakika unaijua siasa ya hiki chama!
 
Huyu bwana amekuwa gumzo hata jimboni kwake. Kwa muda wa siku kumi hizi wanamponda kweli kweli.

Juzi kwenye msiba wa Diwani mmoja hivi ilibidi avae kwa namna ya kujiconceal ili asijulikane kama yupo Msibani. Na mara baada ya msiba aliondoka faster na kwa unyonge sana kuliko wakati wowote.

Wana Iramba wanaandaa mtu wao kwa sasa; Dkt Mwigulu pamoja na mimi kumpenda kwa ujengaji wake wa mtandao wa ushindi na hoja za kurubuni, kwa kweli sina namna tena nimeshamchoka.

15 inamtosha sasa! Kwani ugumu wa maisha kwa wananchi wa Tanzania yote umesababishwa na yeye kweupe tunamwona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…