Iramba hatumtaki tena Mwigulu Nchemba

Iramba hatumtaki tena Mwigulu Nchemba

Huyu bwana Dr Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.

Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.

Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.

Tafadhali Rais Samiah ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!
Akawapa kofia na pombe za kienyeji mtamchagua tena
 
Kwani mlimchagua, mnasahau haraka sana,hakuna mbunge wa CCM aliechaguliwa na wananchi au alieshinda kwa kura za jimbo lake.
 
Huyu bwana Dr Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.

Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.

Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.

Tafadhali Rais Samiah ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!
Ashukuriwe Mungu!! ufahamu wako umerejea!!
 
Shida Tanzania mwananchi hana maamuzi kwenye kuchagua viongozi, chungunza asilimia kubwa kama sio wote wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na watu, ndio maana watu wanaojiandikisha ni wengi ila wanaenda kupiga kura ni wachache
Kwaiyo unavyosema iramba hawamtaki mwigulu hayo ni maoni tu ila Tanzania tunasafari ndefu sana kuwa na uchaguzi unaotoa nguvu kwa wananchi
Miaka ya nyuma ilikuwa poa. Miaka ya M/zake ndiyo aliharibu demokrasia!
 
Na amewawakilisha vyema kwelikweli huyu msanii wenu wa mapesa
 
Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.

Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.

Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.

Tafadhali Rais Samia ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!
Mara Ubalozi mara Urais?

Sema kama hafai hafai sio unatuzunguka zunguka hapa.

Afu yeye ni waziri wa Tanzania sio Wa Jimbo.
 
Mwigulu mnamtajataja na kumuongezea umaarufu bure tu, hana uwezo huo mnaompa hapa, ni mtu anayetegemea huruma ya Rais aliyepo madarakani kwa wakati husika, zaidi ya hapo hamna kitu. Wanasiasa wanamkakati na wakuogopewa kwa mikakati yao walikuwa ni Kikwete, Lowassa na Rostam, sidhani kama watakuja kutokea wanasiasa kama hao siku za karibuni. Hawa wengine wote wanaishi kwa huruma za Mkiti, Samia akiamua kumpoteza huyo Mwigulu kwenye siasa ni jambo la saa moja tu. Wapo wapi Bashite, Polepole na Bashiru leo hii?
Kikwete sizan kama atafit kwenye battle ya awo wawili
 
Mwigulu mnamtajataja na kumuongezea umaarufu bure tu, hana uwezo huo mnaompa hapa, ni mtu anayetegemea huruma ya Rais aliyepo madarakani kwa wakati husika, zaidi ya hapo hamna kitu. Wanasiasa wanamkakati na wakuogopewa kwa mikakati yao walikuwa ni Kikwete, Lowassa na Rostam, sidhani kama watakuja kutokea wanasiasa kama hao siku za karibuni. Hawa wengine wote wanaishi kwa huruma za Mkiti, Samia akiamua kumpoteza huyo Mwigulu kwenye siasa ni jambo la saa moja tu. Wapo wapi Bashite, Polepole na Bashiru leo hii?
Kwa hakika unaijua siasa ya hiki chama!
 
Huyu bwana amekuwa gumzo hata jimboni kwake. Kwa muda wa siku kumi hizi wanamponda kweli kweli.

Juzi kwenye msiba wa Diwani mmoja hivi ilibidi avae kwa namna ya kujiconceal ili asijulikane kama yupo Msibani. Na mara baada ya msiba aliondoka faster na kwa unyonge sana kuliko wakati wowote.

Wana Iramba wanaandaa mtu wao kwa sasa; Dkt Mwigulu pamoja na mimi kumpenda kwa ujengaji wake wa mtandao wa ushindi na hoja za kurubuni, kwa kweli sina namna tena nimeshamchoka.

15 inamtosha sasa! Kwani ugumu wa maisha kwa wananchi wa Tanzania yote umesababishwa na yeye kweupe tunamwona!
 
Back
Top Bottom