mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Madiwani wote amewaweka wa kwake. Hata Mwenyekiti wa Halmshauri ni wa kijijini kwake wakati ni Form 4 failure kabisa!
Wewe kumkataa umeshamkataa, sasa fanya mambo ugombee umtoe kabisaaa
Q
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madiwani wote amewaweka wa kwake. Hata Mwenyekiti wa Halmshauri ni wa kijijini kwake wakati ni Form 4 failure kabisa!
cc; WakudadavuwaWakati Iramba ikimkataa madiluu womanizer Tz haitaki kusikia kuhusu ccm
Hili nalo wazo!Wewe kumkataa umeshamkataa, sasa fanya mambo ugombee umtoe kabisaaa
Q
Hata wake za watu!cc; Wakudadavuwa
Mshikaji huku wanamuita womanizer [emoji1787][emoji1787]
Kwani unafikiri yeye Shonza hajui Madiluu ni womanizer? Anajua sana tu maana hata ishu ya kufumaniwa singida na mke wa mtu miaka ile ni kielelezo toshacc; Wakudadavuwa
Mshikaji huku wanamuita womanizer [emoji1787][emoji1787]
Akawapa kofia na pombe za kienyeji mtamchagua tenaHuyu bwana Dr Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.
Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.
Tafadhali Rais Samiah ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!
Ndiyo ujinga wetu huo. Tunapenda sana kilande!Akawapa kofia na pombe za kienyeji mtamchagua tena
Ashukuriwe Mungu!! ufahamu wako umerejea!!Huyu bwana Dr Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.
Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.
Tafadhali Rais Samiah ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!
Poleni sn wakuuNdiyo ujinga wetu huo. Tunapenda sana kilande!
Miaka ya nyuma ilikuwa poa. Miaka ya M/zake ndiyo aliharibu demokrasia!Shida Tanzania mwananchi hana maamuzi kwenye kuchagua viongozi, chungunza asilimia kubwa kama sio wote wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na watu, ndio maana watu wanaojiandikisha ni wengi ila wanaenda kupiga kura ni wachache
Kwaiyo unavyosema iramba hawamtaki mwigulu hayo ni maoni tu ila Tanzania tunasafari ndefu sana kuwa na uchaguzi unaotoa nguvu kwa wananchi
Mara Ubalozi mara Urais?Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.
Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.
Tafadhali Rais Samia ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!
Umnisaidia kusummarise!Mara Ubalozi mara Urais?
Sema kama hafai hafai sio unatuzunguka zunguka hapa.
Afu yeye ni waziri wa Tanzania sio Wa Jimbo.
Kikwete sizan kama atafit kwenye battle ya awo wawiliMwigulu mnamtajataja na kumuongezea umaarufu bure tu, hana uwezo huo mnaompa hapa, ni mtu anayetegemea huruma ya Rais aliyepo madarakani kwa wakati husika, zaidi ya hapo hamna kitu. Wanasiasa wanamkakati na wakuogopewa kwa mikakati yao walikuwa ni Kikwete, Lowassa na Rostam, sidhani kama watakuja kutokea wanasiasa kama hao siku za karibuni. Hawa wengine wote wanaishi kwa huruma za Mkiti, Samia akiamua kumpoteza huyo Mwigulu kwenye siasa ni jambo la saa moja tu. Wapo wapi Bashite, Polepole na Bashiru leo hii?
Kwa hakika unaijua siasa ya hiki chama!Mwigulu mnamtajataja na kumuongezea umaarufu bure tu, hana uwezo huo mnaompa hapa, ni mtu anayetegemea huruma ya Rais aliyepo madarakani kwa wakati husika, zaidi ya hapo hamna kitu. Wanasiasa wanamkakati na wakuogopewa kwa mikakati yao walikuwa ni Kikwete, Lowassa na Rostam, sidhani kama watakuja kutokea wanasiasa kama hao siku za karibuni. Hawa wengine wote wanaishi kwa huruma za Mkiti, Samia akiamua kumpoteza huyo Mwigulu kwenye siasa ni jambo la saa moja tu. Wapo wapi Bashite, Polepole na Bashiru leo hii?
Sio kwamba akiamua kumtosa Mwigulu ndiyo atakuwa anampa umaarufu?Kwa hakika unaijua siasa ya hiki chama!