Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Basi kwa namna hio aliandaa kimya kimya njia za kutetemesha mamlaka ambazo hakuzipenda.
Alifadhili machafuko kwa namna ambayo hakuonekana alihusika na walileta maafa makubwa.
Kila mkono wa ugaidi duniani haswa wa kutoka mashariki ya kati unashikwa na Irani kwa asilimia zaidi ya 65%
Mamlaka ya ayatollah haipaswi kuwepo katika ardhi hii ya dunia.