britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Haha si mlisema hakuna waliye kufa au kujehuriwa na missile za Iran, mmeamini sasa US huwa huficha kipigo anacho pewa.
Sasa imefahamika kwa picha za satelite kwamba Iran iliitungua ndege ya abiria ya Ukrain na kuuwa zaidi ya abiria 170. Canada wamekuja juu, German wamekuja juu na uingereza wamekuja juu.
Kinachofuata ni kama kile kilichotokea Libya, Jeshi la Nato litaipiga Iran Muda wowote.
Na inasemekana si Wamarekani tu waliokufa kwenye mashambulizi ya Irani ata baadhi ya wanajeshi wa mataifa ya Ulaya waliokuwa wakiwasaka magaidi wa ISIS.
Technolojia haidanganyanyi siku hizi.

Kakojoe kwanza ukalale kijana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa imefahamika kwa picha za satelite kwamba Iran iliitungua ndege ya abiria ya Ukrain na kuuwa zaidi ya abiria 170. Canada wamekuja juu, German wamekuja juu na uingereza wamekuja juu.
Kinachofuata ni kama kile kilichotokea Libya, Jeshi la Nato litaipiga Iran Muda wowote.
Na inasemekana si Wamarekani tu waliokufa kwenye mashambulizi ya Irani ata baadhi ya wanajeshi wa mataifa ya Ulaya waliokuwa wakiwasaka magaidi wa ISIS.
Technolojia haidanganyanyi siku hizi.
Akikujibu unitag.....'Na inasemekana si Wamarekani tu waliokufa kwenye mashambulizi ya Irani ata baadhi ya wanajeshi wa mataifa ya Ulaya waliokuwa wakiwasaka magaidi wa ISIS.'
Nyie si mnasema makombora ya Iran hayajaua mwanajeshi yoyote yule wa US na Washirika wake?
Sasa hao wanajeshi unaowasema wewe umewatoa wapi?
dodge