Iran attacked Mossad base in Erbil

aya mtuambie majeruhi na walio kufa ni wangapi?
 
Vyombo vyote vya habari vimeropoti kuwa makao makuu ya kijasusi ya Israel yaliyoko Kurdistan yamepigwa ila ww mlala njaa kutoka magwepande unaleta ngonjera,tena makao makuu yenyewe yalikuwa karibu na ubalozi wa Marekani.
makao makuu a Mossad yawekwe kweny bufferzone , hv una akili ww? tuwache wazayun wewe ungeweka makao makuu ya ujasusi kwenye bufferzone?
 
Kumbe ndani ya Iraq kuna jimbo kabisa linashirikiana na Israel. Hadi kambi ya Israel ipo kwenye jimbo la Iraq
Kurdistan ni jimbo linalo jitawala ndani ya Iraq na lina ushirika na Israel hilo linajulikana na wala sio jambo la kificho.

Kuna kipindi Uturuki ilisha itaka Israel iache kushirikiana nao Netanyau akaijibu kuwa Uturuki ikiacha kuiunga mkono Hamas basi na Israel itaacha ushirika na wakrudi.
 
makao makuu a Mossad yawekwe kweny bufferzone , hv una akili ww? tuwache wazayun wewe ungeweka makao makuu ya ujasusi kwenye bufferzone?
Hayo maswali waulize Israel wenyewe usiniulize mm.
 
Ni kwamba unajitoa ufahamu au haujui Kingereza vizuri?
Nini maana ya "Israel claims Hamas is using Gazans as human shields"?
Siku hizi hata kama hujui kiingereza kuna Translate inakutafisiria kila lugha hapa duniani hivyo hoja yako haina mantiki.
 
Habari njema hii acha nishushie na supu ya kuku wa kienyeji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya Mossad😂😂😂😂Aiseee
Walifanya mashambulizi maeneo zaidi ya matano ikiwemo hiyo
 
Acheni UONGO

Hapo ni ndani ya nchi ya Iraq..
Sasa Mosad base imefikaje kule, au unaongeza propaganda?!!

Na wamesema kabisa wameshambulia anti-Iran terrorist groups (vikundi vya kigaidi dhidi ya Iran) nchini Iraq.
Usilolijua hata CIA base zipo ndani ya MOSCOW na FSB zipo ndani ya DC na mataifa mengine duniani

Vijana mmekuaje hamjui hata mambo madogo kama hayo yanaendaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…