ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,604
Missile zote zikikaribia na shabaha zinapiga kiaina hyo, Angalia hapa chini Storm shadow za muingereza zikipiga makao makuu ya black Sea fleet ya Urusi. Hii HQ hapo Crimea inalindwa na kila aina ya AD... S-400, Tor,Pantsir, noHehee hatari sana aseeee yaani haya madude yapo kwa ajili ya kuuana heheeee 😀
View: https://youtu.be/F6vnxcKOmUE?si=-GgUET_d9Z2jPKGe