baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Hichi ndio ulichoandikaHivi ulielewa nilichoandika? Au umeamua tu kuanzisha ubishi?
Kwann unachukua kakipande kadogo kwenye mada ndo unataka kawe msingi wa majadiliano badala ya kujadili mantiki ya mada nzima?Mleta mada anatuhabarisha;
"Iran has a rich history of scientific and technological achievements, dating back to ancient times when scholars like Al-Khwarizmi and Avicenna laid the foundation for modern mathematics and medicine. From the development of algebra to advancements in astronomy and healthcare, Iran's contributions have shaped global knowledge forndekipacenturies.";
Ancient times; inamaanisha nini?
Ulielewa?almost all important
Ume-present topic; nimeuliza swali very relevant to what you have presented then unauliza kwanini unauliza swali hilo! Duh! Ok; tupe maswali ambayo ungependa tukuulize about what your topic.Mbona umekomalia hapo!?
Mbona kwingine ambako kunazungumzia maendeleo ya sayansi Iran hadi sasa umeparuka!?
Ungetamani tuulize maswali gani Mkuu? Tupe maswali yanayokupendeza tutauliza haina shida.Kwann unachukua kakipande kadogo kwenye mada ndo unataka kawe msingi wa majadiliano badala ya kujadili mantiki ya mada nzima?
Muiran ni mwarabu ewe msomi?Unavyo andika haya huwa mnapata thwawabu kutoka kwa mola wenu mlezi au huwa mnaandika tu kujipendekeza kwa waarabu?
Mantiki ya mada haipo kwenye kuuliza maswali bali ipo kwenye kujadili hoja na kuweka fact.Ungetamani tuulize maswali gani Mkuu? Tupe maswali yanayokupendeza tutauliza haina shida.
Duh mkuu ni tatizo lako la uelewa ama vipi!??Ume-present topic; nimeuliza swali very relevant to what you have presented then unauliza kwanini unauliza swali hilo! Duh! Ok; tupe maswali ambayo ungependa tukuulize about what your topic.
Mkuu unashida ya uelewa aiseeπππππππ.Ungetamani tuulize maswali gani Mkuu? Tupe maswali yanayokupendeza tutauliza haina shida.
Umesoma maendeleo ya sasa ya Iran ya sayansi na teknolojia!?Kwa asili kabisa, Iran, Iraq, Syria, Lebanoni, Jordan SIO Waarabu; wanaungana na Waarabu baada ya Uislam kuingia duniani. Iraq na Iran vipo kabla ya Ibrahim; Ibrahim ndio baba wa Waarabu na Waisrael, Waarabu ni product ya Mu Iraq (Ibrahim) na Misri kwa Hajir; Wayahudi we could call wahamiaji from Iraq cause ni product ya Ibrahim (Mu Iraq ) na Sara nchi hiyo hiyo. Wairan wamekua very bright miaka na miaka, kobas ndio kaka imewaharibu akili
Huo ni mtazamo wako. Jibu swali! Unampangia muuliza swali akuulize swali gani? Mwenye matatizo ni muuliza swali au "researcher"?Mkuu unashida ya uelewa aiseeπππππππ.
Umeambiwa kwanini unashikilia upande mmoja wa mada badala ya kuzama katika mada nzima!?
Hujachaguliwa maswali ya kuuliza.
Doooh mkuu tufanye umeshindaπππππππ.Huo ni mtazamo wako. Jibu swali! Unampangia muuliza swali akuulize swali gani? Mwenye matatizo ni muuliza swali au "researcher". Common!
Nimeelewa ndio unless hujui kingereza, maana neno "almost all" linamaanisha kiswahili karibia wote, tu Naongelea asilimia za juu 70-99% sasa kama karibia wote walikua ni wairan hao wengine wengi wametoka wapi sasa.Ulielewa?
Sikusema kwingine hawakuwepo
Naweka mkazo kwenye hoja ya balaa la mionzi siyo nani mgunduzi.Sasa mionzi iligunduliwa na Iran? Marria curle na mumewe walitoka Irani? Mionzi ya tiba kwa maana ya x ray na siyo hazard particles
Linajulikana hilo bro, sihitaji kusoma vitu vinavyo onekana. Ingawa to put the record clearly, kwasasa Iran hatengenezi vitu alivovigundua mwenyewe, ana copy technology za wengine including Jews. Yaani hana tofauti na China, mambo mengi hasa ya ulinzi alichukua wataalamu wengi kutoka Russia iliovunjika mwanzoni mwa miaka ya 90; baada ya vita yake na Iraq kumalizika na USSR kuvunjika, jamaa walijizolea wataalamu wa Urusi wengi kwa mshahara kidogo; kilicho tokea by now is just a historyUmesoma maendeleo ya sasa ya Iran ya sayansi na teknolojia!?
That is what we call INNOVATION.Linajulikana hilo bro, sihitaji kusoma vitu vinavyo onekana. Ingawa to put the record clearly, kwasasa Iran hatengenezi vitu alivovigundua mwenyewe, ana copy technology za wengine including Jews. Yaani hana tofauti na China, mambo mengi hasa ya ulinzi alichukua wataalamu wengi kutoka Russia iliovunjika mwanzoni mwa miaka ya 90; baada ya vita yake na Iraq kumalizika na USSR kuvunjika, jamaa walijizolea wataalamu wa Urusi wengi kwa mshahara kidogo; kilicho tokea by now is just a history
Kuna watu wanakosea sana kudhani mchango kwenye sayansi na teknolojia ni invention pekee kumbe innovation pia ina mchango mkubwa sana.That is what we call INNOVATION.
Unadhani kaka innovation ni kitu chepesi!??
Kama ni chepesi mbona hakuna hata nchi inayoifukuzia hiyo China kwa R&D!?
Lete na ya Nchi yako Tanzania..Napekenyua maendeleo ya teknolojia ya sasa ya Iran niyalete hapa.