Iran contribution to world technology development

Iran contribution to world technology development

Hivi ulielewa nilichoandika? Au umeamua tu kuanzisha ubishi?
Hichi ndio ulichoandika

What the Muslim calls "Islamic Golden Age" was in fact a "Persian Golden Age" because almost all important innovations and discoveries in the said period were made by Persians/Iranians.

Sasa kama Walikua scientist wametapakaa spain, Mali, Tunisia, Iraq, Syria na kwengineko unahisi statement yako ipo sawa?
 
Mleta mada anatuhabarisha;
"Iran has a rich history of scientific and technological achievements, dating back to ancient times when scholars like Al-Khwarizmi and Avicenna laid the foundation for modern mathematics and medicine. From the development of algebra to advancements in astronomy and healthcare, Iran's contributions have shaped global knowledge forndekipacenturies.";

Ancient times; inamaanisha nini?
Kwann unachukua kakipande kadogo kwenye mada ndo unataka kawe msingi wa majadiliano badala ya kujadili mantiki ya mada nzima?
 
Mbona umekomalia hapo!?
Mbona kwingine ambako kunazungumzia maendeleo ya sayansi Iran hadi sasa umeparuka!?
Ume-present topic; nimeuliza swali very relevant to what you have presented then unauliza kwanini unauliza swali hilo! Duh! Ok; tupe maswali ambayo ungependa tukuulize about what your topic.
 
Kwann unachukua kakipande kadogo kwenye mada ndo unataka kawe msingi wa majadiliano badala ya kujadili mantiki ya mada nzima?
Ungetamani tuulize maswali gani Mkuu? Tupe maswali yanayokupendeza tutauliza haina shida.
 
Ungetamani tuulize maswali gani Mkuu? Tupe maswali yanayokupendeza tutauliza haina shida.
Mantiki ya mada haipo kwenye kuuliza maswali bali ipo kwenye kujadili hoja na kuweka fact.
 
Ume-present topic; nimeuliza swali very relevant to what you have presented then unauliza kwanini unauliza swali hilo! Duh! Ok; tupe maswali ambayo ungependa tukuulize about what your topic.
Duh mkuu ni tatizo lako la uelewa ama vipi!??
Kwani mie nimesema kwanini unauliza swali hilo ama nasema ume base upande huo peke yake!??
Nimekuuliza kwanini una base upande huo peke yake ilhali mada iliyoleta inalenga pande zote zamani na sasa!?
 
Ungetamani tuulize maswali gani Mkuu? Tupe maswali yanayokupendeza tutauliza haina shida.
Mkuu unashida ya uelewa aisee😂😂😂😂😂😂😂.
Umeambiwa kwanini unashikilia upande mmoja wa mada badala ya kuzama katika mada nzima!?
Hujachaguliwa maswali ya kuuliza.
 
Kwa asili kabisa, Iran, Iraq, Syria, Lebanoni, Jordan SIO Waarabu; wanaungana na Waarabu baada ya Uislam kuingia duniani. Iraq na Iran vipo kabla ya Ibrahim; Ibrahim ndio baba wa Waarabu na Waisrael, Waarabu ni product ya Mu Iraq (Ibrahim) na Misri kwa Hajir; Wayahudi we could call wahamiaji from Iraq cause ni product ya Ibrahim (Mu Iraq ) na Sara nchi hiyo hiyo. Wairan wamekua very bright miaka na miaka, kobas ndio kaka imewaharibu akili
 
Umesoma maendeleo ya sasa ya Iran ya sayansi na teknolojia!?
 
Mkuu unashida ya uelewa aisee😂😂😂😂😂😂😂.
Umeambiwa kwanini unashikilia upande mmoja wa mada badala ya kuzama katika mada nzima!?
Hujachaguliwa maswali ya kuuliza.
Huo ni mtazamo wako. Jibu swali! Unampangia muuliza swali akuulize swali gani? Mwenye matatizo ni muuliza swali au "researcher"?
 
Huo ni mtazamo wako. Jibu swali! Unampangia muuliza swali akuulize swali gani? Mwenye matatizo ni muuliza swali au "researcher". Common!
Doooh mkuu tufanye umeshinda😂😂😂😂🙏🙏🙏.
 
Ulielewa?
Sikusema kwingine hawakuwepo
Nimeelewa ndio unless hujui kingereza, maana neno "almost all" linamaanisha kiswahili karibia wote, tu Naongelea asilimia za juu 70-99% sasa kama karibia wote walikua ni wairan hao wengine wengi wametoka wapi sasa.
 
Iran ipo mbali sana kiteknolojia na sayansi...
Watu wanaidogosha kwa kusikiliza media za magharibi nyingine zilizo chini ya wayahudi, lakini usipokuwa na mihemko ukafuatilia Iran utashangaa sana.
 
Sasa mionzi iligunduliwa na Iran? Marria curle na mumewe walitoka Irani? Mionzi ya tiba kwa maana ya x ray na siyo hazard particles
Naweka mkazo kwenye hoja ya balaa la mionzi siyo nani mgunduzi.
Pia mchango wa maendeleo ya sayansi na teknolojia haupo ktk mgunduzi wa awali pekee, bali pia katika kuboresha kilichogunduliwa na kubuni matumizi mapya ya hicho kitu, au kuongezea ufanisi, n.k.

Note: Mimi siyo mtetezi wa Iran, siyo muislam. Mimi nimebatizwa kanisa katoliki la mitume.
Hapa nasimamia ukweli tu. Truth will set you free.
 
Umesoma maendeleo ya sasa ya Iran ya sayansi na teknolojia!?
Linajulikana hilo bro, sihitaji kusoma vitu vinavyo onekana. Ingawa to put the record clearly, kwasasa Iran hatengenezi vitu alivovigundua mwenyewe, ana copy technology za wengine including Jews. Yaani hana tofauti na China, mambo mengi hasa ya ulinzi alichukua wataalamu wengi kutoka Russia iliovunjika mwanzoni mwa miaka ya 90; baada ya vita yake na Iraq kumalizika na USSR kuvunjika, jamaa walijizolea wataalamu wa Urusi wengi kwa mshahara kidogo; kilicho tokea by now is just a history
 
That is what we call INNOVATION.
Unadhani kaka innovation ni kitu chepesi!??
Kama ni chepesi mbona hakuna hata nchi inayoifukuzia hiyo China kwa R&D!?
 
That is what we call INNOVATION.
Unadhani kaka innovation ni kitu chepesi!??
Kama ni chepesi mbona hakuna hata nchi inayoifukuzia hiyo China kwa R&D!?
Kuna watu wanakosea sana kudhani mchango kwenye sayansi na teknolojia ni invention pekee kumbe innovation pia ina mchango mkubwa sana.
Ningewasii wafuatilie tofauti ya hayo mambo mawili na mifano yake.
 
Back
Top Bottom