Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nobel ni pro west Tuzo, watu wengi wanaopewa Tuzo ya Nobel hawastahili na kuna wauaji wengi sana wana hio Tuzo. pia mwanamke wa Kwanza kupata Nobel Ya Mathematics ni Muiran kama Sijakosea.andika waliopata nobel mwaka huu
Naona umeanza kustarabika sasa Asante sana ubalikiwe mtumishUnatafuta kivuli cha kujifichia!?
Hakuna cha mihemko wala nini nani asiyefahamu kama wewe ni mdini!?
Masuala ya Mola mlezi yanakujaje kwenye mada za diplomasia!?
Vingi mno, kitu rahisi ambacho hata popoma anaelewa ni Operation ya Kichwa, mtafute Mhenga yoyote akuelezee zamani, Operation ya kichwa ilikua ni kufa na kupona lazima Usign ndugu wa karibu kabla hajapasuliwa, ila kupitia wanasayansi wa Iran vita vya Iraq na Iran wakagundua njia mpya ya kumpasua kichwa mwanadamu ambayo risk ya kufa ni ndogo, ndio inatumika dunia nzima mpaka sasa.Iran and science, Iran na science, Iran na science, Iran na science Kila sehemu, sema wamechangia Nini tangible siyo mambo ya Lasser na mionzi ambayo Haina impact zaidi ya kuleta mabalaa
Vice versa is true nikipata muda Nita edit, ila Iran Islamic Golden age walikua vizuri, Kipindi cha shah wakati wapo west walipitwa Mbali hadi na Tanzania na sasa toka wafanye mapinduzi wa narudi kwenye hadhi yao.Uajemi ya kikafir ilikuwa na akili mingi mno. Wangekuwa supa pawa hawa watu ila ndio hivyo tena.
Kwani maendeleo na contribution ya Iran aliyoweka Kosugi ni ya lini? Ni ya zama za kale. Baada ya kuvurugwa na mabedui Iran ilianza kupotea.Vice versa is true nikipata muda Nita edit, ila Iran Islamic Golden age walikua vizuri, Kipindi cha shah wakati wapo west walipitwa Mbali hadi na Tanzania na sasa toka wafanye mapinduzi wa narudi kwenye hadhi yao.
Agree! But those innovations and discoveries were declining compared to the past.What the Muslim calls "Islamic Golden Age" was in fact a "Persian Golden Age" because almost all important innovations and discoveries in the said period were Persians/Iranians.
Mkuu pale kuna ya zama za kale na sasa hivi, nakuomba usome vizuri article.Kwani maendeleo na contribution ya Iran aliyoweka Kosugi ni ya lini? Ni ya zama za kale. Baada ya kuvurugwa na mabedui Iran ilianza kupotea.
And they started to emerge again after Islamic revolution.Agree! But those innovations and discoveries were declining compared to the past.
Hauko sawa ktk kufikiri!!Iran and science, Iran na science, Iran na science, Iran na science Kila sehemu, sema wamechangia Nini tangible siyo mambo ya Lasser na mionzi ambayo Haina impact zaidi ya kuleta mabalaa
Hayo ni sahihi na ya sasa pia ni sahihi, wengi hamjui Contribution ya sasa, ukitaka kujua Wairan wapo vizuri kisayansi uliza wanasayansi sio wanasiasa.Kwani maendeleo na contribution ya Iran aliyoweka Kosugi ni ya lini? Ni ya zama za kale. Baada ya kuvurugwa na mabedui Iran ilianza kupotea.
Is there any positive correlation between ones faith and scientific innovation?And they started to emerge again after Islamic revolution.
Is there any positive correlation between ones faith and scientific innovation?Hayo ni sahihi na ya sasa pia ni sahihi, wengi hamjui Contribution ya sasa, ukitaka kujua Wairan wapo vizuri kisayansi uliza wanasayansi sio wanasiasa.
Japo Usa wameweka vikwazo kwa Iran ila still Wanasayansi wa hizo Nchi wanashirikiana na kuna mambo mengi mno hapo Usa yamewezekana sababu ya wanasayansi wa Iran.
Nakupa mfano, Iran ni katika Nchi iliofanikiwa sana kutoa huduma za Afya vijijini, wananchi wengi wa Iran bado wanaishi vijijini, At same Time Usa bado Huduma ya Afya hasa vijijini ni mbaya, So what's solution? Kucopy model ya Iran, kupata ushauri toka kwao, Mississipi ikaanza kutumia hio model
Loading…
www.thelancet.com
Kuna mifano mingi mno ya wanasayansi wa Iran kubadili na ku improve sayansi tunayoijua leo.
You got me wrong.Is there any positive correlation between ones faith and scientific innovation?
Jibu hilo swali in connection to Iran's the so called blah blah revolution and prove other societies wrong.
What innovations and discoveries were made by the Iranians.😮😮😮What the Muslim calls "Islamic Golden Age" was in fact a "Persian Golden Age" because almost all important innovations and discoveries in the said period were made by Persians/Iranians.
Huzungumzii imani wakati "islamic" revolution umelirudia countless number of times? Your accounts of the issue has lost credibility for sure.You got me wrong.
Nachomaanisha ni kuwa kuna muda wali decline ila baada ya revolution wali emerge tena.
Sizungumzii imani bali nazungumzia kipindi.
That is due to your perception.Huzungumzii imani wakati "islamic" revolution umelirudia countless number of times? Your accounts of the issue has lost credibility for sure.