Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Swali rahisi Lakini limekupa taharuki!!!Tatizo ni kaswende ya ubongo.
Kuna matatizo 10 duniani, la 11 ni la kujitakia.
Kama ulikuwa na majibu yake imekuwaje umelileta hapa?Swali rahisi Lakini limekupa taharuki!!!
Sijapanga.Kama ulikuwa na majibu yake imekuwaje umelileta hapa?
Hii tabia ya kuanzisha thread na kuwapangia watu namna ya kuchangia comments inatoka wapi?
Ukianzisha thread, swala la comments siyo lako wala halikuhusu tena.Sijapanga.
Ila kutoka swali la maandamano hadi majibu ya kaswende. Huoni kama jibu lina hitilafu??
Sawa ni mali ya JF. Na komenti yangu pia ni mali ya JF.Ukianzisha thread, swala la comments siyo lako wala halikuhusu tena.
Thread ukishapost hapa ni Mali ya JF.
Tatizo ni kaswende ya ubongo.
Kuna matatizo 10 duniani, la 11 ni la kujitakia.