Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Ipo haja ya kuamini kuwa vinu vya nyuklia vya Iran ilikuwa ni kwa ajili ya matumizi ya kiraia na tafiti za kielimu.
Inashangaza sana kuwa mataifa kadhaa yameweza kumiliki silaha za nyuklia kimya kimya na bila kutangazwa
Kwa upande wa Iran imechukua miaka mingi mpaka udoro huo umewatilia fitna kwenye shughuli zao ambazo ni haki yake.