Hawa ndo ma great thinker sasa.... honger! Subili yaje kukubishia mafuasi ya mila na desturi za waarabuIran walichagua njia ya Libya, wamebaki Historia, Lazima wavaa Kobazi muiopongeze Marekani, Mpango wa Kulipua Kinu cha Fordow ulianza miaka 15 tangu 2009, Tanzania wamepita Marais watatau. Tangu wanaanza Marekani ilikuwa inajua kuanzia mchanga, mfanayakazi na kila kitu kinachoenda wamefanya research za kutosha, kuhusu Silaha, na sehemu walipogiga bomu ni vintalation shaft, ambayo marekani ilikuwa inaijua
Trmp anasema watuma ndege za kimya kimya usiku wa giza hakuna hata mwangaza wa Mwezi wakaangusha Makombora kisha wakaondoka zao Iran hajui kitu anasema Marubani hodari kisha akauliza unaweza ukaamini kweli Giza tororo na shabaha bila kukosa.Iran walichagua njia ya Libya, wamebaki Historia, Lazima wavaa Kobazi muiopongeze Marekani, Mpango wa Kulipua Kinu cha Fordow ulianza miaka 15 tangu 2009, Tanzania wamepita Marais watatau. Tangu wanaanza Marekani ilikuwa inajua kuanzia mchanga, mfanayakazi na kila kitu kinachoenda wamefanya research za kutosha, kuhusu Silaha, na sehemu walipogiga bomu ni vintalation shaft, ambayo marekani ilikuwa inaijua
Kwamba kukiwa na ukungu au mvua ndege ya kivita haiwezi kupata target????Trmp anasema watuma ndege za kimya kimya usiku wa giza hakuna hata mwangaza wa Mwezi wakaangusha Makombora kisha wakaondoka zao Iran hajui kitu anasema Marubani hodari kisha akauliza unaweza ukaamini kweli Giza tororo na shabaha bila kukosa.
Samahani mkuu π swali: Mbona picha za satellite zinaonesha kinu kipopo vile vile walipiga sehemu gani? Ufafanuzi tafadhali mkuu hili jambo linachanganya maana sehemu yingine nimesoma wamepiga creaters za pembeni za hicho kinu na picha wameonesha, na kama ni creaters kulikuwa na nini humo? na sio lile jengo jeupe pale?Iran walichagua njia ya Libya, wamebaki Historia, Lazima wavaa Kobazi muiopongeze Marekani, Mpango wa Kulipua Kinu cha Fordow ulianza miaka 15 tangu 2009, Tanzania wamepita Marais watatau. Tangu wanaanza Marekani ilikuwa inajua kuanzia mchanga, mfanayakazi na kila kitu kinachoenda wamefanya research za kutosha, kuhusu Silaha, na sehemu walipogiga bomu ni vintalation shaft, ambayo marekani ilikuwa inaijua
Walipiga sehemu ya kuingizia hewaSamahani mkuu π swali: Mbona picha za satellite zinaonesha kinu kipopo vile vile walipiga sehemu gani? Ufafanuzi tafadhali mkuu hili jambo linachanganya maana sehemu yingine nimesoma wamepiga creaters za pembeni za hicho kinu na picha wameonesha, na kama ni creaters kulikuwa na nini humo? na sio lile jengo jeupe pale?
Wamepiga wapi sasa kama ndio hivyo? Ufafanuzi tafadhali mkuu π
Juu ya hicho kinu cheupe au sehemu gani? Maana kuna sehemu nimesoma walitumia Bunker busts 12 vipi kinu akija sambaratika? Ufafanuzi tafadhali mkuu πWalipiga sehemu ya kuingizia hewa
Iran toka tangu na tangu anasema si kwa ajili ya silaha hata wakaguzi walisema hivyo, hata week kadhaa nyuma mkuu wa intelijensia wa US alisema hivyo ila Bw. nyau yeye akaja akasema vingine na Trump hakasema hajali yule mama mkuu wa inyelijensia anasemaje yeye anaanini Israel.Ipo haja ya kuamini kuwa vinu vya nyuklia vya Iran ilikuwa ni kwa ajili ya matumizi ya kiraia na tafiti za kielimu.
Inashangaza sana kuwa mataifa kadhaa yameweza kumiliki silaha za nyuklia kimya kimya na bila kutangazwa
Kwa upande wa Iran imechukua miaka mingi mpaka udoro huo umewatilia fitna kwenye shughuli zao ambazo ni haki yake.
Kinu siyo lile jengo jeupe unaliliona, kinu kipo chini ya ardhi, zile Crater uliyoiona ndio sehemu yaliyopita mabomu kuingia ardhiniSamahani mkuu π swali: Mbona picha za satellite zinaonesha kinu kipopo vile vile walipiga sehemu gani? Ufafanuzi tafadhali mkuu hili jambo linachanganya maana sehemu yingine nimesoma wamepiga creaters za pembeni za hicho kinu na picha wameonesha, na kama ni creaters kulikuwa na nini humo? na sio lile jengo jeupe pale?
Kwenye video ya yule General anaonesha namna ventilation ilivyokuwa imeundwa, kwenye picha ina matundu 3, wao lipiga moja la katiJuu ya hicho kinu cheupe au sehemu gani? Maana kuna sehemu nimesoma walitumia Bunker busts 12 vipi kinu akija sambaratika? Ufafanuzi tafadhali mkuu π
Kabisa mkuu, Iran kajitahidi sana aseh,πͺπͺπͺKwanza mnatakiwa kujua uchumi wa Iran hauwezi kupambana na kasi ya technolojia ya silaha kwa sababu uchumi una vikwazo vingi.
Kwa ilichofanya imejitahidi sana, yani upambane na mtu anayepewa misaada ya kila aina, pia upambane na moja ya jeshi kubwa duniani alafu iwe kazi ndogo.
Kuna sehemu nimesoma wanasema hivyo hivyo,ila picha baada ya kupigwa inaonesha no any impact maana yale mabomu ni more power full na yana shock wave kubwa sana na lile jengo jeupe pale kuna nini? Maana limetengenezwa na cement kali sana na kwanini halikushambuliwa?Kinu siyo lile jengo jeupe unaliliona, kina pimo chini ya ardhi, zile Crater ulizoziona ndio sehemu yaliyopita mabomu kuingia ardhini