Iran ilikuwa inafanya nini hasa kwenye vinu vyake vya nyuklia. Mbona imechukua muda mrefu sana

Kwenye video ya yule General anaonesha namna ventilation ilivyokuwa imeundwa, kwenye picha ina matundu 3, wao lipiga moja la kati
Vipi sasa mkuu akija sambaratika wala kutitia au hayo matundu kuonesha kama kuna kitu kimepita? Ufafanuzi tafadhali mkuu πŸ™
 
Kuna habari nimezipata kuwa Iran wameisha tengeneza Nuclear Boom ndio kilicho wasababishe wasimamishe vita. Na pia wana boom hatari kuliko Nuclear boom yenyewe.
Duu!! Mpaka wewe mbongo umejua itakuwa kweli vipi lini watalirusha pale Tel Aviv au Haifa?
 
Kazi nasikia zimeanza tena huko Fordow.Trump ana kazi kubwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…