Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.


"Kulipiza kisasi kwa damu ya Ismail Haniyeh ni jukumu letu kwa sababu mauaji yalitokea katika ardhi yetu" - Ayatollah Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran.

Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi kwenye jumba la msikiti wa Jamkaran.


View: https://x.com/iranobserver0/status/1818559913167049050?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw


View: https://x.com/globeeyenews/status/1818604260600246730?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw


Ninakazia:

"Supporting Palestinians is a duty, whatever the sacrifices are."

Kauli thabiti kabisa kutoka kwa aina ya akina Mandela, Lissu na wa namna hiyo.
 
Hao waarabu wame panic, naona sasa wanamtisha mpaka Biden, kama hawawezi kujilinda wenyewe, hawawezi kuwalinda wageni wao, hao kwangu nawaona wako uchi, vyema watulie wafiche nyeti zao zisiendelee kuchakazwa.

The fact is, Netanyahu ahitaji ruhusa ya yeyote kuwatandika, anawatandika siku yoyote akiamua, muamerika atake au asitake, apende au asipende, this is how it is.

Hivyo wasipoteze muda wao, na vinguvu kidogo walivyonavyo kuongeza maadui, hawatawaweza, haya mambo ni zaidi ya propaganda ili kuwafurahisha raia wao.

Na wana bahati myahudi ni mstaarabu, anawadondosha specifically wale maadui zake, hana muda wa kupiga misitu au raia wasio na hatia unless maadui zake wakajifiche kwao, myahudi is so brave.
 
Raisi anadondoka kwenye ndege iliyotengenezwa na Marekani😁😁😁
Cha kushangaza wanatumia mamilioni ya fedha kutengeneza mabomu, drone na silaha zingine za vita ila hawawezi kutengeneza ndege, TV, Simu, Operating system, Feni, friji, computer, radio n.k
Middle East na nchi zinazoamini ⭐🌙 wanawaza kuuana kila siku.
 
Tatizo lenu mnapenda midomo sana, endeleeni kushindana na aliyewazidi nguvu muone mtakavyochakazika, kama IDF anashambulia Lebanon na Iran kwa wakati mmoja hamjiulizi huyu myahudi uwezo wake ni wa kipekee?

Katiba mpya haipatikani kwa kukomaa kikamanda, kukunja ngumi na kuzungusha bali kwa kuitambua gharama yote na kuwa tayari kufa ikibidi.
 
Tatizo lenu mnapenda midomo sana, endeleeni kushindana na aliyewazidi nguvu muone mtakavyozidi kutandikwa, kama IDF anashambulia Lebanon na Iran kwa wakati mmoja hamuoni huyu myahudi uwezo wake ni wa kipekee?

Mpaka siku mtakapokubali myahudi ni habari nyingine, mtakuwa mmechelewa sana na mmeumizwa sana.
Kama sio watakuwa wamemalizwa jumla.
 

Unadhani myahudi kabla hajawatandika hakujua kama mtakuja na hizi ngonjera?

Myahudi yeye haongei zaidi, alishasema mara moja atawatafuta popote mlipo, leo anawadondosha mmoja mmoja popote mlipo, huyu hana utani anamaanisha anachokisema.

Na ujue tu; hicho cheo cha kiongozi mkuu wa Hamas sasa kinaenda kuwa sawa na "death certificate" kwa mtu yeyote atakayekubali kubeba hilo jukumu, ukiwemo wewe Ritz

Hao wa Iran wenyewe warembo tu, juzi tu Rais wao kadondoshwa huko wakasingizia ukungu, kwani ule ukungu ulikuja ghafla?!

Myahudi amewazidi akili na uwezo wa kijeshi, hili sina shaka nalo, ataendelea kuwacharaza kwa style zote atakazotaka, nyie chezeni na hizo bendera nyekundu tu.

Na kwa taarifa yako myahudi akiamua kuudondosha huo msikiti mlioweka hiyo bendera nyekundu hapo, anaweza kufanya hivyo dakika yoyote, kwa sasa anawatazama tu kama watoto wadogo.
 
Rusia huwa hawashauri Iran ?uwezo wa kijeshi wa Rudia na wehu na ubabe wote wa Putin huwezi ona anaichezea Israel, ingekuwa ni kawaida pale Syria, Lebanon Mrusi angekuwa ameshaweka S-300, S-400, lakini ametulia mpaka ndege za Israel zinaingia Beiruti, Tehran, Damascus na kushambulia.
 
Unadhani myahudi kabla hajawatandika hakujua kama mtakuja na hizi ngonjera?

Myahudi yeye haongei, anawadondosha mmoja mmoja, nyie mnaimba tu mapambio.

Hicho cheo cha kiongozi mkuu wa Hamas kinaenda kuwa death certificate kwa yeyote atakayetkubali hilo jukumu ukiwemo wewe@Ritz
Ameuliwa muasisi wa Hamas nini kimebadilka.
 
Raisi anadondoka kwenye ndege iliyotengenezwa na Marekani😁😁😁
Cha kushangaza wanatumia mamilioni ya fedha kutengeneza mabomu, drone na silaha zingine za vita ila hawawezi kutengeneza ndege, TV, Simu, Operating system, Feni, friji, computer, radio n.k
Middle East na nchi zinazoamini ⭐🌙 wanawaza kuuana kila siku.
Kuna vitu viwili kwenye uchumi kuhusu uzalishaji/production,comparative advantage na absolute advantage,jifunze hivyo
 
Back
Top Bottom