Hao waarabu wame panic, naona sasa wanamtisha mpaka Biden, kama hawawezi kujilinda wenyewe, hawawezi kuwalinda wageni wao, hao kwangu nawaona wako uchi, vyema watulie wafiche nyeti zao zisiendelee kuchakazwa.
The fact is, Netanyahu ahitaji ruhusa ya yeyote kuwatandika, anawatandika siku yoyote akiamua, muamerika atake au asitake, apende au hasipende.
Hivyo wasipoteze muda wao, na vinguvu kidogo walivyonavyo kuongeza maadui, hawatawaweza, haya mambo ni zaidi ya propaganda ili kuwafurahisha raia wao.