Brazaj:
Ni aibu mkuu, amelipuliwa katika Guest House ya Jeshi, si mbali na nyumba ya Rais, na kombora limepiga katika floor yake tu! Hawakuwa na haja kabisa na Ziyad al-Nakhala, kiongozi wa Islamic Jihad, maana alikuwa amelala floor ya juu Haniyen, labda ndiye aliyemuuza! Huwawezi Waarabu kwa kufitiana.
Usisahau wanapopanga kisasi kuna Watu wa Mosad ndani yao! Kubali Mkuu hii ni inside job! Kuna Wairan wenzeo ni members wa Mosad!
Na kichekesho kikubwa, yule aliyekuwa Waziri wa Intelligence aliyondoka Esmael Khatib, kasema hata siku sita hazijapita alisema anajivunia katika kipindi chake akiwa bosi wa Wizara hiyo ya Intelligence aliweza kung'oa masalia yote ya Mosad! Kiko wapi! Aibu juu ya aibu! Pole sana Mkuu.