Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
tukisema inatawaliwa na wayahudi, tunamaanisha kiuchumi, kwenye social media, mass media na ushashishi mkubwa kwenye serikali.Marekani haitawaliwi na wayahudi hizi fikra dumavu wacheni.
Bali kuna ushirikiano na kusaidiwa kwa Israel na Marekani.
Hakuna siku Netanyahu alisimama katika Congress na akatukana thubutu yakeee.
Mbona hakutukana mwaka juzi baraza lilipokataa kupitisha upelekaji wa silaha Israel pale Capitol Hill!?
Hizi fikra zenu huwa sijui mnatoaga wapi.
USA na Israel wana mutual benefits tu hivyo kubebana ni lazima.
Ila utake USITAKE Israel haina nguvu ya kupigana vita peke yake sasa hivi.
Maana ina rekodi ya askari wengi walemavu wa akili na viungo,pia wana upungufu wa askari.
juzi hapa, havard na vyuo vingine walichelewa tu kulaani antisemitism na wakaongea fyongo, makampuni mengi yalijiondoa ufadhili na viongozi walijiuzuru. maeneo makubwa ya kiuchumi yamemilikiwa na wao pia. kama unabisha basi tuamini yamemilikiwa na waarabu. hata siasa za sasaivi, nani uona kwenye kampeni anaponda israel? ajaribu aone. CNN, kampuni za HP, DELL, google, facebook, twitter x, whatsapp, CNN, TIME, just to mention a few.