unachoongea ni sawa na wewe una watoto wako wa kiume wanaishi mkoani, kuna mtu akaanza kuwashambulia kule mkoani akitegemea wewe hapa dsm hautawasaidia kwasababu ni mtu tofauti, sio wao. hajui kama wale jamaa ni watoto wako. israel ni sawa tu na mtoto wa marekani na wamagaribi, kwanza, kwasababu ya dini, ukristo hautakuja kuitupa israel hata siku moja, kwa mkristo kuisapoti israel ni kufanya mapenzi ya Mungu. kwahiyo hata hao wanaoandamana marekani na magharibi ni wahuni wavuta bange na mashoga, ila wale wanaoijua imani, wanaomba kwa ajili ya amani ya Israel. na hawafurahii gaidi yeyote akiishambulia israel. marekani ni taifa la kidini, na zaidi ya hayo, ina raia wa kiyahudi wengi kuliko wale waliopo israel, na raia hao ndio walioshika maeneo muhimu kiuchumi, kisiasa, kijamii. hawana namna ila kuisaidia kwasababu ni mtoto wao.
ninachojiulizaga, utakuta magaidi wanasema wamagaribi ni makafiri, ila wana account facebook, twitter/x na wanatumia simu, silaha, magari n.k vilivyotengenezwa huko. computer hizo za DELL na HP ni wamarekani, na kama sikosei mmoja au wote wawili ni wayahudi (wa kimarekani), google ambayo inaingiza pesa nyingi, elon must wa twitter/x ni myahudi, whatsapp, CNN, hotmail, makapuni yoote ukiona yana jina la warner bros hadi vile vikatuni vya tom and jerry watoto wako wanafurahia, magazeti ya TIME, n.k, ni wayahudi. kama hujui, hakuna myahudi maskini hata mmoja dunia nzima, wote aidha ni middle class au first class, kwasababu wana umoja sana wa kusaidiana, kwenye masinagogi wakienda sio tu kwamba wanaabudu, huwa wanapeana madili ya biashara na kuinuana. hata wakienda shule huwa wanaambizana, utakuta amechagua IT, UDAKTARI, ENGINEERING, SHERIA na course zenye maana tu, akienda kusoma hizo course zenu ninyi hizo jua wazazi wake walishatengeneza mpunga hataki kuumiza kichwa.